• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 6:50 AM

Serikali yalenga kukusanya Sh4.2 bilioni kila siku

NA DANIEL OGETTA SERIKALI inatarajia kukusanya Sh4.2 bilioni kila siku kuanzia mwaka ujao, 2023, kufuatia kuanzishwa kwa huduma za...

Wezi wa nguo wanaojifanya maafisa wa Kenya Power

NA RICHARD MAOSI VISA vya wizi wa nguo zilizoanikiwa kwenye kamba baada ya kufuliwa ili kukauka vimeandikisha kuongezeka, hasa katika...

Sababu ya mibuyu kuhusishwa na mashetani

NA KALUME KAZUNGU MTI wa mbuyu hutambulika sana kwa sifa zake, hasa ukubwa wa mti huo na pia uwezo  wake wa kuishi  karne na...

Wauzaji pombe ‘mwitu’ kuona cha mtema kuni

NA CHARLES WASONGA MISAKO dhidi ya watu wanaokiuka sheria ya Udhibiti wa Matumizi ya Pombe (ADCA) ya 2010 sasa itaendeshwa na maafisa...

Serikali kupendekeza sheria ya kudhibiti soko la hewa ukaa nchini Kenya

NA JACOB WALTER RAIS William Ruto amebainisha mipango ya serikali kupitisha sheria bungeni itakayothibiti soko la hewa ukaa (Carbon...

Watu wanne wafariki kwa kuangukiwa na mbao za ghorofa inayoendelea kujengwa Pangani

NA WINNIE ONYANDO WATU wanne wameaga dunia baada ya kuangukiwa na mbao katika ghorofa moja inayojengwa Pangani, Nairobi Wengine wanane...

Itumbi akanusha madai kwamba Rais Ruto kaandamana na ujumbe wa maafisa 367 katika kongamano kuu la COP28 licha ya kuahidi kukata matumizi ya serikali

NA CHARLES WASONGA BLOGA anayeegemea upande wa serikali ya Kenya Kwanza Dennis Itumbi amelalamika akisema madai kwamba Rais William Ruto...

Njaa yafanya wanaoishi na virusi vya HIV kususia ARVs

NA SAMMY LUTTA WAATHIRIWA wa virusi vya HIV katika Kaunti ya Turkana wamesitisha kutumia Dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs)...

Wakazi wa Juja waisuta serikali kwa utepetevu fisi wakiendelea kuua wanakijiji

NA MWANGI MUIRURI WAKAZI wa Juja wameingiwa na hofu baada ya fisi kumla mwanamke wa umri wa miaka 46, wiki moja baada ya kisa cha mtoto...

Wageni wataabika kupata vyumba vya kulala kipindi kizima cha tamasha za utamaduni Lamu

NA KALUME KAZUNGU UHABA mkubwa wa vyumba vya kulala unashuhudiwa kisiwani Lamu wakati ambapo makala ya 21 ya Tamasha za Utamaduni wa...

Watu watano wapoteza maisha kwenye ajali mjini Molo

NA JOHN NJOROGE WATU watano wamefariki kwenye ajali iliyowaacha wengine 10 wakiwa na majeraha baada ya matatu kugonga upande wa nyuma wa...

Mto Tana wavunja kingo mafuriko yakitatiza shughuli za uchukuzi katika eneo la Gamba

NA KALUME KAZUNGU SHUGHULI za uchukuzi zimekatizwa katika eneo la Gamba kwenye barabara kuu ya Lamu-Witu-Garsen baada ya maji ya...