• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 4:40 PM

Ufisadi: EACC yalaumiwa kumulika magavana na kuipendelea serikali kuu

NA CAROLINE WAFULA MAGAVANA watatu wamehimiza Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kuangazia ufisadi katika kiwango cha Serikali...

Milio ya risasi kutulia kwa muda katika Ukanda wa Gaza

NA MASHIRIKA JERUSALEM, ISRAELI PANDE hasimu za Israeli na kundi la Hamas zimekubali kurefusha muda wa kusitisha mapigano kwa siku mbili...

Naibu Gavana Kisii akabwa koo na ukoo wa Nyaribari akitakiwa kueleza ikiwa anaunga mkono Gavana Arati 

NA WYCLIFFE NYABERI BAADHI ya viongozi na wazee kutoka ukoo wa Nyaribari sasa wanamtaka Naibu Gavana wa Kisii Dkt Robert Monda kuweka...

Simba jike atishia kuangusha Ripoti ya Kamati ya Maridhiano endapo haitaangazia matakwa ya Mlima Kenya

NA SAMMY WAWERU MBUNGE wa Githunguri Gathoni Wamuchomba ametishia kuangusha Ripoti ya Kamati ya Mazungumzo ya Maridhiano (NADCO)...

El Nino: Hofu nyanda za juu Pokot Magharibi mmomonyoko wa udongo ukitishia wakazi 

NA OSCAR KAKAI WASIWASI umekumba wakazi wa nyanda za juu Kaunti ya Pokot Magharibi, wakihofia kuporomokewa na udongo kufuatia mvua ya El...

Hatimaye Serikali yatoa Sh10 bilioni kukabili athari za El Nino

BENSON MATHEKA Na FRIDAH OKACHI HATIMAYE serikali ya Kitaifa imetoa Sh10 billioni kwa serikali za Kaunti ili kukabiliana na athari za...

KNEC yatakiwa kuangazia dosari za KCPE kama kura za urais zinavyoshughulikiwa 

NA RICHARD MUNGUTI ZOEZI la watahiniwa wa Mtihani wa Kitaifa Darasa la Nane (KCPE) 2023 kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka ujao, 2024...

Wasiwasi wafugaji Narok wakihadaiwa kwa chang’aa kama tiba ya mifugo  

NA RICHARD MAOSI WAFUGAJI kutoka eneo la Eor –Nkitok, Kaunti ya Narok wametakiwa kuchukua tahadhari baada ya kuzuka kwa kundi la...

Raila: Ni kinaya serikali ya Ruto kutoza vijana ada kupata vitambulisho ikidai inawainua kimaendeleo    

NA WYCLIFFE NYABERI KINARA wa chama cha ODM, Raila Odinga amekashifu vikali mipango ya serikali ya kutaka kuongeza ada za kuchukua...

Raila: Serikali ya Ruto ni ya drama tupu, hata KCPE inahadaa wanafunzi?

NA WYCLIFFE NYABERI KINARA wa ODM Raila Odinga amekashifu vikali Baraza la Mitihani Nchini (KNEC) kwa dosari zilizotokea kwenye matokeo...

Tamasha za utamaduni wa Lamu kufanyika licha ya visa vya Kipindupindu kuripotiwa  

NA KALUME KAZUNGU MAELFU ya wageni na watalii kutoka pembe zote za Kenya na ulimwengu wanatazamiwa kufurika Kisiwani Lamu kwa...

Magavana wataka KNEC kusuluhisha utata wa KCPE 2023

NA VITALIS KIMUTAI BARAZA la Magavana Nchini (CoG) sasa linataka Baraza la Kitaifa la Mtihani (KNEC) lisuluhishe utata ambao...