• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:35 AM

Mchecheto wagubika wazazi, watahiniwa hitilafu ya mitambo ikikwamisha matokeo ya KCPE kwenye simu

NA FATUMA BARIKI Wazazi, wanafunzi na wadau katika mtihani wa KCPE walikabiliana na hali ya sintofahamu Alhamisi Novemba 23,2023 huku...

Matokeo ya KCPE kutolewa Alhamisi wazazi, wanafunzi wakisubiri kwa hamu

FATUMA BARIKI na MARY WANGARI Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu anatarajiwa kutangaza rasmi matokeo ya KCPE kesho Novemba 23, 2023 katika...

Afrika Kusini yapiga kura ya kuvunja uhusiano na Israel kwa sababu ya ‘ukatili’

NA MASHIRIKA PRETORIA, AFRIKA KUSINI WABUNGE nchini Afrika Kusini walipiga kura siku ya Jumanne kuunga mkono kufungwa kwa ubalozi wa...

Gavana Sakaja kwenye ratili ukusanyaji mapato Nairobi ukitiliwa shaka

NA WINNIE ONYANDO KAMATI maalum inayosimamia masuala ya ukusanyaji wa mapato katika Kaunti ya Nairobi imeelezea wasiwasi wake kuhusu...

Gachagua ataka DCI itenge nafasi za kazi kwa wasomi, wataalamu wa fedha

NA JURGEN NAMBEKA NAIBU wa Rais, Rigathi Gachagua, ameitaka Idara ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) kuwapa nafasi wataalamu mbalimbali...

Baraza la Magavana Nchini lamruka Gachagua kuhusu mgano wa fedha za El Nino

WINNIE ATIENO NA JURGEN NAMBEKA BARAZA la magavana (CoG) limevunja kimya chake kuhusu mvutano ambao umekuwa ukishuhudiwa baina ya gavana...

Nyamira sasa yajisimamia kusambaza huduma za maji

NA WYCLIFFE NYABERI JUHUDI za Kaunti ya Nyamira kujitenga na majirani wao wa Kisii katika huduma za usambazaji wa maji safi ya kunywa,...

Gachagua na Gavana Nassir wakabana koo kuhusu pesa za El Nino

NA WINNIE ATIENO MAFURIKO yaliyoshuhudiwa Mombasa yamegeuzwa kuwa uwanja wa kisiasa baada ya Mbunge wa Nyali Bw Mohammed Ali, na Naibu...

Gavana wa Samburu ataka ufafanuzi kuhusu miradi tata

NA GEOFFREY ONDIEKI GAVANA wa Samburu Lati Lelelit, anataka Bunge la Kitaifa kumhoji Msimamizi wa Hazina ya Maendeleo ya Maeneo Bunge...

Madiwani wamtaka Ruto kutwaa baadhi ya majukumu Meru

NA DAVID MUCHUI MZOZO wa uongozi unaokumba Kaunti ya Meru ulishika kasi Jumanne, Novemba 21, 2023 baada ya madiwani (MCAs) kutangaza...

Chama cha Kalonzo Musyoka chatishia kushauri raia waandamane

NA MERCY SIMIYU CHAMA cha Wiper kimetishia kushinikiza wananchi kurejea barabarani, iwapo Mazungumzo ya Maridhiano yanayoendelea...

Ufisadi katika kaunti unapitiliza maelezo, ripoti ya EACC yasema

NA JUSTUS OCHIENG TUME ya Maadili na Kupamabana na Ufisadi nchini (EACC) imerejelea ubadhirifu wa fedha za umma kama aina ya ufisadi...