• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 11:38 AM

Rais wa zamani Tanzania Hassan Mwinyi kuzikwa Jumamosi

NA MASHIRIKA DAR-ES-SALAAM, TANZANIA RAIS wa zamani wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, aliyeaga dunia Alhamisi jioni, atazikwa Jumamosi...

Kenya, Haiti zaivisha dili ya polisi 1,000 kupelekwa kukabili magenge

NA MWANDISHI WETU KENYA na Haiti zimetia saini makubaliano ya mkataba wa polisi 1,000 kutumwa katika taifa hilo la Carribean...

Rais wa pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi aaga dunia

NA THE CITIZEN, Tanzania Rais wa pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi ameaga dunia. Kulingana na taarifa kutoka Ikulu ya Dodoma na Rais...

Tanzania yapata treni za umeme, Kenya ikisukuma maisha na za kizamani

MWANANCHI Na CHARLES WASONGA SHUGHULI za uchukuzi kwa treni za kutumia umeme zikitarajiwa kuanza rasmi nchini Tanzania kuanzia Julai...

Saba wafariki Nigeria wakipigania mchele

NA MASHIRIKA ABUJA, NIGERIA WATU saba walifariki na wengine kujeruhiwa Nigeria kwenye mkanyagano waking’ang’ania mchele wa bei...

Raia Madagascar kuendelea kuzongwa na umaskini – Ripoti

NA MASHIRIKA ANTANANARIVO, MADAGASCAR BENKI ya Dunia imeonya viwango vya umaskini nchini Madagascar vitaendelea kuongezeka baada ya...

Uchumi wa Tanzania kukua kuliko wa Kenya, Uganda

NA WANDERI KAMAU UCHUMI wa Tanzania umetabiriwa kukua kuliko chumi za Kenya na Uganda mwaka huu 2024. Kulingana na ripoti iliyotolewa...

Mkosoaji mkuu wa Putin afariki, katika pigo kuu kwa demokrasia Urusi

NA MASHIRIKA VIONGOZI wa mataifa ya Magharibi wa wamemlaumu moja kwa moja Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kifo cha Kiongozi wa Upinzani...

Waziri wa Ulinzi wa Amerika alazwa tena hospitalini kwa tatizo la kibofu

NA MASHIRIKA WAZIRI wa Ulinzi wa Amerika, Lloyd Austin, alilazwa hospitalini mjini Washington Jumapili kwa matibabu ya “dalili...

Tanzia: Mwanasiasa mkongwe Edward Lowassa aaga dunia

NA MWANANCHI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAZIRI wa zamani ambaye pia aliwahi kugombea urais nchini Tanzania Edward Lowassa ameaga dunia...

Watoto 700,000 wakodolea macho utapiamlo nchini Sudan

NA REUTERS GENEVA, USWISI TAKRIBAN watoto 700,000 nchini Sudan wako hatarini kukabiliwa na utapiamlo wa hali ya juu mwaka huu 2024,...

Papa adai wanaopinga mashoga wana unafiki

NA MASHIRIKA VATICAN, VATICAN KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema anaona "unafiki" katika kauli za watu...