• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 10:50 AM

Bodi kuchunguza wanaouza dawa bila ushauri wa daktari

NA WANGU KANURI BODI ya Dawa na Sumu (PPB), imeraiwa kuchunguza kliniki na maduka yanayouza dawa, kubaini yanayouza dawa ya ketamine...

SHINA LA UHAI: Juhudi zaidi zahitajika kukabili kansa ya lango la uzazi

NA PAULINE ONGAJI NI siku chache tu baada ya Kenya kumuaga aliyekuwa mtangazaji nyota wa televisheni marehemu Catherine Kasavuli,...

AFYA: Je, chakula bora kwa ajili ya afya ya moyo ni kipi hasa?

NA MARGARET MAINA [email protected] MLO wa moyo hutanguliza vyakula kama vile mboga mboga, nafaka nzima, na samaki wenye mafuta....

Sababu zinazoweza kufanya mtu kuongeza uzani kupindukia ijapokuwa hali sana

NA MARGARET MAINA [email protected] Inasikitisha wakati uzani wako unaendelea kuongezeka hata wakati unakula kidogo. Makosa ya...

Ni muhimu kupunguza matumizi ya sukari nyeupe

NA MARGARET MAINA [email protected] SUKARI nyeupe au sukari iliyosafishwa kama inavyofahamika, ni kiungo cha kawaida...

Fahamu ni kwa nini unashauriwa kunywa maji mengi

NA MARGARET MAINA [email protected] KUNYWA maji ya kutosha kila siku ni muhimu kwa sababu nyingi zikiwemo kusaidia kudhibiti...

SHINA LA UHAI: Ugonjwa wa matumbwitumbwi unavyoathiri watu wazima

NA WANGU KANURI MNAMO Desemba 2022, Chrismus Kimaru, 39, mkazi wa Ruai, Kaunti ya Nairobi, alianza kulalamika akielezea kuhisi uchovu,...

MUME KIGONGO: Wanaume wasiokuwa na hamu ya ngono hufa haraka, wasema watafiti

NA CECIL ODONGO WANAUME ambao hawana hamu ya ngono hufa haraka, utafiti umebaini. Watafiti kutoka Chuo cha Yagamata, Japan, waligundua...

DKT FLO: Jino linanikosesha usingizi, nifanye nini nipate amani?

Mpendwa Daktari, Nina jino moja mdomoni lililooza na ambalo limekuwa likinikosesha raha. Nitakabiliana vipi na shida hii? Mueni,...

TIBA NA TABIBU: Wengi hawaelezi waajiri wanapotatizika kiakili

NA WANGU KANURI MFANYIKAZI mmoja kati ya kumi humfahamisha mwajiri wake anapougua maradhi ya akili, utafiti umeonyesha. Wanasayansi...

TIBA NA TABIBU: Glasi nane za maji kila siku zitakuongezea siku – watafiti

NA WANGU KANURI WATU wanaokunywa glasi nane za maji kila siku huishi kwa miaka mingi huku ikiwa nadra kuugua. Kwa mujibu wa utafiti...

AFYA: Jinsi unavyoweza kupunguza maumivu ya mgongo

NA MARGARET MAINA [email protected] MISULI ya nyuma na mgongo husaidia kuupa mwili sapoti. Misuli ya mgongo hutumiwa na mtu...