• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:15 PM

SHINA LA UHAI: Ugonjwa wa kupasuka mdomo una suluhu

NA WANGU KANURI MIAKA minne iliyopita, Sarah Naomi alijifungua mtoto wa kike ambaye alimletea furaha kuu. Naomi ambaye alijifungua kwa...

JIJUE DADA: Lishe bora, usingizi mwanana ni njia bora ya kutunza ngozi yako

NA PAULINE ONGAJI HAKUNA atakaye kuzeeka mapema maishani. Hata hivyo, hii ni awamu isiyoepukika maishani. Mojawapo ya sehemu...

MUME KIGONGO: Mwanamume atunze afya kupata mbegu bora ya uzazi – Watafiti

NA CECIL ODONGO JAPO mwanamke ndiye hubeba mimba, mwanaume hutekeleza wajibu muhimu kwa kuwa lazima awe na mbegu bora za kiume ndipo...

Chakula chenye kiwango wastani cha potasiamu

NA MARGARET MAINA [email protected] KULA ndizi au viazi vilivyookwa vikiwa na ngozi, hukupa dozi nzuri ya potasiamu. Hata...

Kunywa juisi uwe na ngozi yenye afya na inayong’aa

NA MARGARET MAINA [email protected] ILI kuepusha shida zote zinazohusiana na ngozi, na ili ngozi yako ing'ae na iwe na unyevu...

Zinki na faida zake mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] ZINKI hupatikana katika vyakula mbalimbali vitokanavyo na mimea na wanyama. Ina jukumu...

AFYA: Fahamu jinsi unavyoweza kuzuia lehemu mbaya

NA MARGARET MAINA [email protected] ILI kupunguza viwango vyako vya lehemu mbaya, fuata mtindo wa ulaji unaozingatia afya...

SHINA LA UHAI: Fahamu chakula unachofaa kula baada ya mazoezi

NA MARGARET MAINA [email protected] WAKATI wa kupanga namna ya kufanikisha mazoezi, kuna mengi ambayo unafaa kuyazingatia endapo...

Kongamano kujadili mifumo ya afya barani laanza

NA PAULINE ONGAJI akiwa KIGALI, Rwanda KONGAMANO la Kimataifa kuhusu Afya ya Umma barani (CPHIA 2021) liling’oa nanga Jumanne jijini...

SHINA LA UHAI: Dalili za ukosaji wa kafeni kwa mraibu

NA MARGARET MAINA [email protected] KUACHA kafeni kunaweza kusababisha dalili kadhaa, ikiwa ni pamoja na maumivu ya kichwa,...

Matumizi mbalimbali ya zaatari almaarufu Thyme

NA MARGARET MAINA [email protected] ZAATARI ni mmea unaofanya vizuri katika maeneo ya Mediterania na watu wengi hutumia hasa kwa...

SHINA LA UHAI: Nilizaliwa na HIV; kila siku napambana kuhamasisha jamii kujilinda

NA PETER CHANGTOEK ALIZALIWA akiwa na virusi vya Ukimwi na amekuwa akiishi na virusi hivyo kwa takribani miongo mitatu. Cleopatra...