• Nairobi
  • Last Updated May 9th, 2024 10:59 AM

ZARAA: Mikakati ya kufufua kahawa sasa yaanza kuzaa matunda

NA SAMMY WAWERU GLADYS Wangu na mume wake, Christopher Wambugu wamekuwa katika kilimo cha kahawa kwa zaidi ya miaka 15. Wakiendeleza...

NJENJE: Mapato ya uuzaji mboga na matunda yashuka, uzalishaji ukipungua

NA WANDERI KAMAU MAPATO ya uuzaji wa mazao ya kibiashara nchini yalishuka kwa Sh32 bilioni katika nusu ya kwanza ya mwaka huu,...

Ufugaji farasi kwa ajili ya donge, starehe na michezo

NA LABAAN SHABAAN KATIKA shamba la ekari tatu Kitisuru, Kaunti ya Nairobi, kikosi cha Akilimali kinakuta farasi wakiwa katika shughuli...

ZARAA: Uwezo wa njugu kupunguza gharama mafuta ya kupikia

NA SAMMY WAWERU CHINI ya kipindi cha muda wa mwaka mmoja, bei ya mafuta ya kupikia imepanda kwa kiasi kikubwa. Lita moja inauzwa kwa...

Uongezaji thamani kwa maziwa unaimarisha kipato, wafugaji wahimizwa

NA SAMMY WAWERU SEKTA ya ufugaji ni pana, kuanzia ufugaji wa mbuzi, kondoo, kuku na nyuni, hadi ng’ombe, listi hii ikiwa fupi...

NJENJE: Mauzo ya miraa Somalia yazolea Kenya Sh220m kwa siku 4

NA WANDERI KAMAU KENYA ilisafirisha miraa ya jumla ya Sh220 milioni siku nne za mwanzo tangu kurejelea uuzaji wa zao hilo nchini...

UJASIRIAMALI: Pikniki zake ni za kupigiwa mfano mijini

NA MARGARET MAINA KWA njia nyingi, biashara yake ni tofauti na mtindo ambapo wanaoenda miadi au pikniki hubeba kila kitu wanachohitaji;...

MITAMBO: Rain gun inatumia jua kuinyunyizia mimea yako maji

NA RICHARD MAOSI SIKU za nyuma wakulima walikuwa wakitegemea kuajiri vibarua, kukodisha punda au kuteka maji kutoka kwenye mito ya...

ZARAA: Juhudi za kutema ukuzaji tumbaku zaanza kufaulu

NA LABAAN SHABAAN UTAFITI unadhihirisha maelfu ya wakulima Kenya hukuza tumbaku kwa sababu tatu kuu; mtazamo wa faida kubwa, ugumu wa...

JIFUNZE BIASHARA: Ya kuzingatia wakati wa kutengeneza bidhaa kutoka kwa maziwa

NA PETER CHANGTOEK WAKATI wa kutengeneza bidhaa kutoka kwa maziwa, kama vile gururu, kuna mambo yanayofaa kuzingatiwa. Usafi ni jambo...

Mara mbili akila hasara lakini bado anang’ang’ana

NA PETER CHANGTOEK UONGEZEAJI thamani maziwa ni shughuli ambayo inaweza kumletea mkulima mapato zaidi. Hii ni kwa sababu bidhaa...

MITAMBO: Mtambo wa kuondoa chumvi kwenye maji yatumike kuendeleza kilimo

NA SAMMY WAWERU WASHIRIKA katika mtandao wa uzalishaji wa chakula wamekuwa wakihimiza wakulima kukumbatia mifumo ya kisasa kuendeleza...