• Nairobi
  • Last Updated May 9th, 2024 6:40 PM

ZARAA: Wavutia soko la ng’ambo kwa mboga zilizokaushwa

NA SAMMY WAWERU ENDAPO kuna kilimo kilichokumbwa na uharibifu wa mazao ni ukuzaji wa mboga. Si ajabu shambani ukishuhudia mkulima...

UJASIRIAMALI: Ukakamavu umemuinua katika uuzaji wa mitumba

NA PETER CHANGTOEK STACY Auma alikuwa akifanya kazi ya kuchuuza nguo katika maeneo tofauti tofauti nchini, kabla ya kufanikiwa na kuanza...

NJENJE: Kenya yapunguza uagizaji sukari uzalishaji ukiongezeka

NA WANDERI KAMAU KENYA ilipunguza uagizaji sukari kwa nusu mnamo Juni ikilinganshwa na mwezi Mei, baada ya uzalishaji miwa kuongezeka...

MITAMBO: Kifaa kinachosaidia kuboresha rutuba

NA RICHARD MAOSI MKULIMA anaweza kuendesha kilimo kwa kutumia jembe lenye ncha kali kulima kati ya mseto wa mimea ingawa jembe la...

ZARAA: Asema kilimo kinalipa bora hatua zinazofaa zizingatiwe

NA WYCLIFFE NYABERI UTAALAMU wa kuotesha uyoga umeanza kushika kasi humu nchini baada ya watu kutilia maanani umuhimu wa lishe...

Kampuni yazindua vitafunio vilivyosindikwa kwa nyama ya kuku

NA SAMMY WAWERU KAMPUNI moja inayoshughulika na masuala ya utotoaji na uanguaji mayai imezindua vitafunio vilivyotengenezwa kwa nyama za...

Apu zinazoongoza wakulima na wafugaji katika shughuli zao

NA SAMMY WAWERU ATHARI za tabianchi zinaendelea kubadilisha mkondo wa hali ya hewa, ukame, mkurupuko wa magonjwa ya mimea na wadudu...

MITAMBO: Mtambo unaotawanya nafaka na maganda bila kuvunja mbegu

NA SAMMY WAWERU WANASAYANSI na wataalamu wa masuala ya kilimo wanaendelea kutafiti mbegu bora za nafaka zinazostahimili athari za...

MITAMBO: Commercial milk coolers husaidia kuhifadhi maziwa na kupunguza hasara

NA RICHARD MAOSI ENEO la Afrika Mashariki na Kati lina soko la maziwa lililoshamiri kutokana na upatikanaji wa teknolojia bora na...

UJASIRIAMALI: Alikuwa mchuuzi tu, sasa aagiza mitumba kutoka ng’ambo na kuuza

NA PETER CHANGTOEK STACY Auma alikuwa akifanya kazi ya kuchuuza nguo katika maeneo tofauti tofauti nchini, kabla ya kufanikiwa na kuanza...

ZARAA: Ahimiza ukuzaji matunda asilia yanayoboresha afya

NA SAMMY WAWERU MTAJIE aina yoyote ile ya matunda asilia, atakupa majina ya Kisayansi na yale ya lakabu. Stephen Mwanzia amekuwa...

UFUGAJI: Jinsi anavyojipatia riziki kwa kuwafuga sungura

NA PETER CHANGTOEK ALEE Kagwa alianza kuwafuga sungura miaka mitano iliyopita kama uraibu tu. Hata hivyo, baada ya mtu mmoja...