• Nairobi
  • Last Updated May 12th, 2024 5:17 PM

UFUGAJI: Jinsi anavyojipatia riziki kwa kuwafuga sungura

NA PETER CHANGTOEK ALEE Kagwa alianza kuwafuga sungura miaka mitano iliyopita kama uraibu tu. Hata hivyo, baada ya mtu mmoja...

MUME KIGONGO: Kuendesha baiskeli kunaweza kuathiri nguvu za kiume – Utafiti

NA LEONARD ONYANGO KUENDESHA baiskeli ni moja ya mazoezi yanayopigiwa upatu katika kuboresha afya. Baadhi ya wataalamu wanasema kuwa...

UFUGAJI: Wafugaji wahimizwa kukumbatia teknolojia za kisasa kukuza malisho

NA SAMMY WAWERU HALI si hali tena katika sekta ya ufugaji nchini, kufuatia kuendelea kuongezeka kwa bei ya chakula cha mifugo. Mfumko...

NJENJE: Matumaini kwa wakulima Kenya ikitarajiwa kuanza kuuza maparachichi China

NA WANDERI KAMAU MAMLAKA ya kusimamia mazao nchini China imemaliza mchakato wa kutathmini ubora wa maparachichi kutoka Kenya, hali...

MITAMBO: Mfumo wa maji ya kufugia samaki na kukuza mazao

NA RICHARD MAOSI MTINDO wa aquaponics ni mfumo wa uzalishaji chakula na kwa wakati huo mkulima anaweza kawafuga samaki hii ikiwa ni...

UJASIRIAMALI: Bidhaa zake zavutia wateja tele ughaibuni

NA LABAAN SHABAAN ÉCLAIR ni chapa ya Kenya yenye shauku ya kutengeneza bidhaa za watoto za viwango vya juu. Ilianza kama kituo cha...

ZARAA: Kilimo endelevu chamfaa nyanjani na kuinua mapato

NA SAMMY WAWERU CATHERINE Mbili amekuwa mkulima wa nafaka kwa zaidi ya miaka 25 Kaunti ya Makueni, eneo ambalo ni kame. Aliingilia...

Wavuvi walia nyavu mbovu zikipunguza samaki ziwani

NA PETER CHANGTOEK BAADHI ya wavuvi ambao huvua samaki katika Ziwa Victoria, wanalalamika kuwa, idadi ya samaki imekuwa ikipungua katika...

MITAMBO: Mashine ya kisasa inayosaga nyasi za mifugo na kuchanganya na nafaka kwa pamoja

NA SAMMY WAWERU BEI ya chakula cha mifugo cha madukani ingali ghali, licha ya serikali kutangaza mikakati kuishusha. Mikakati hiyo...

MITAMBO: Kifaa cha jab planter kupunguza gharama za shughuli za upanzi

NA RICHARD MAOSI KUNA changamoto nyingi zinazowakumba wakulima wa mahindi, wengi wao wakishindwa kubaini idadi kamili ya mbegu ambazo...

Wakuzaji maua ya Arabicum walia hasara ya ‘soft rot’

NA PETER CHANGTOEK WAKULIMA wanaokuza maua aina ya Arabicum, wanalilia usaidizi kwa sababu ya ugonjwa unaothiri mimea yao. Ugonjwa...

ZARAA: Uundaji bidhaa za avokado kusaidia kupanua soko lake

NA SAMMY WAWERU MAPARACHICHI ni kati ya matunda ambayo kwa sasa yana soko lenye ushindani mkuu, ikilinganishwa na miaka ya...