• Nairobi
  • Last Updated May 20th, 2024 9:55 AM

Wakuzaji maua ya Arabicum walia hasara ya ‘soft rot’

NA PETER CHANGTOEK WAKULIMA wanaokuza maua aina ya Arabicum, wanalilia usaidizi kwa sababu ya ugonjwa unaothiri mimea yao. Ugonjwa...

ZARAA: Uundaji bidhaa za avokado kusaidia kupanua soko lake

NA SAMMY WAWERU MAPARACHICHI ni kati ya matunda ambayo kwa sasa yana soko lenye ushindani mkuu, ikilinganishwa na miaka ya...

Farm shield: Kifaa kinachorejelewa kama ubongo wa shamba

NA SAMMY WAWERU MATAIFA yaliyoimarika kiteknolojia kuendeleza shughuli za kilimo, kwa kiasi kikuu yamefanikiwa kukabiliana na kero ya...

KIDIJITALI: Apu ya ‘Kalro Garlic’ kusaidia wakulima wanaoazimia kukuza vitunguu saumu nchini

NA LEONARD ONYANGO JE, wajua kuwa asilimia 50 ya vitungu saumu vinavyotumiwa humu nchini vinaagizwa kutoka ng’ambo, haswa nchini...

ZARAA: Mashine za kisasa kuifanya kazi ya upanzi wa mboga iwe rahisi

NA SAMMY WAWERU WADAU katika sekta ya kilimo, Wanasayansi na watafiti wamekuwa wakihimiza haja ya wakulima kukumbatia mifumo ya kisasa...

DKT FLO: Kiharusi cha joto ni maradhi gani?

Hivi majuzi kuna rafiki yangu alianza kuumwa na kichwa kisha baadaye kuzimia, ambapo baada ya kupelekwa hospitalini aligundulika kukumbwa...

ZARAA: Mfumo wa bustani za PVC unaweza kusaidia raia kukabili tatizo la uhaba wa chakula

NA SAMMY WAWERU ATHARI za tabianchi ni bayana, na wataalamu wa masuala ya kilimo wanasisitiza sharti wakulima watathmini mbinu...

Munya ahimiza wakulima wakumbatie teknolojia za kisasa

NA SAMMY WAWERU UKUAJI katika sekta ya kilimo utaafikika kikamilifu kupitia mifumo ya teknolojia za kisasa. Waziri wa Kilimo, Peter...

Matatizo yanayoletwa na mtu kutokula chakula cha kuimarisha afya

NA MARGARET MAINA [email protected] TUSIPOKUBALI vyakula vya aina mbalimbali na za afya, hatutapata vitamini na madini ya...

UJASIRIAMALI: Watengeneza miswaki kwa mianzi kulinda mazingira

NA MARGARET MAINA WANANDOA Atiff Ibrahim Khalid na mkewe Natasha Lakhani, wamejiingiza katika soko linalozingatia mazingira, na...

ZARAA: Wanakuza miche inayovutia hata wateja nchi za nje

NA LABAAN SHABAAN ALIPONUNUA shamba takriban miaka 20 iliyopita, Lister Kinuthia hakudhania shamba hilo lingemzalishia matunda tele na...

UJASIRIAMALI: Agundua siri kupunguza gharama ya juu ya chakula cha mifugo  

NA SAMMY WAWERU GHARAMA ya ufugaji nchini inazidi kuwa ghali kutokana na mfumko wa bei ya chakula cha mifugo cha madukani. Ongezeko hilo...