• Nairobi
  • Last Updated May 20th, 2024 7:55 AM

UFUGAJI: Wafugaji watafuta njia za kumudu gharama ya lishe

NA SAMMY WAWERU ONGEZEKO la juu la bei ya chakula cha mifugo madukani linaendelea kuhangaisha huduma za ufugaji nchini. Mfumko wa...

NJENJE: Ushuru mpya wa mayai watishia uhusiano wa kibiashara Kenya na Uganda

NA WANDERI KAMAU HUENDA Kenya na Uganda zikaanza mvutano mpya wa kibiashara, baada ya Kenya kuanza kutoza ushuru mayai yanayoingizwa...

Wataalamu wapendekeza sheria za mifugo zitathminiwe kuipunguzia dhuluma

NA SAMMY WAWERU KUNA haja sheria za mifugo nchini zitathminiwe ili kuipunguzia na kuindolea dhuluma zinazotekelezwa na...

ZARAA: Afichua siri ya jinsi alivyofaulu katika kilimo cha magimbi ‘nduma’

NA WYCLIFFE NYABERI WAKAZI wengi katika kaunti ya Kisii, aghalabu hutenga sehemu ya chini ya mashamba yao iliyo karibu na mito au...

MITAMBO: Kifaa kinachopima ubora wa maziwa na kuepusha hasara

NA RICHARD MAOSI KILA mkulima, mfugaji au mfanyabiashara huwa na matarajio ya kujiundia faida katika shughuli anazoendesha. Kwa...

NJENJE: M-Pesa sasa kutumika katika nchi 200 duniani baada ya kutia mkataba na kampuni ya Visa

NA WANDERI KAMAU MAMILIONI ya wateja wa M-Pesa nchini sasa wana nafasi kulipia bidhaa na huduma katika zaidi ya nchi 200 duniani, baada...

TIBA NA TABIBU: Kulegea, kuoza kwa meno inaweza kuwa dalili ya kisukari – utafiti

NA LEONARD ONYANGO IKIWA meno yako yamelegea au kuanza kuoza ghafla, inaweza kuwa dalili ya ugonjwa wa kisukari. Utafiti uliofanywa...

ZARAA: Jinsi ushirikiano kati ya serikali na sekta ya binafsi utakavyosaidia kuokoa mazao mabichi

NA SAMMY WAWERU MAZAO mabichi ya kilimo kuharibika na kuozea shambani na kwenye masoko, ni miongoni mwa changamoto ambazo washirika...

Wito kwa serikali ipunguze ushuru kwa pembejeo

NA SAMMY WAWERU CHANGAMOTO zinazozingira sekta ya kilimo zitapungua endapo ushuru (VAT) unaotozwa pembejeo utashushwa. Sekta hii...

NJENJE: Bei ya mahindi yatarajiwa kuzidi kupanda wasagaji wakidinda kuyaagiza kutoka nje

NA WANDERI KAMAU WASAGAJI mahindi nchini wamekataa kuagiza mahindi kutoka nje, kutokana na gharama kubwa ya usafirishaji na muda mfupi...

MITAMBO: Kifaa cha kukama ng’ombe chawafaa wenye mifugo wengi

NA RICHARD MAOSI KIFAA cha kukama ng’ombe, mbuzi au ngamia almaarufu kama milking machine hurahisisha kazi ikizingatiwa kuwa mkulima...

Gavana wa CBK ahimiza wadau waungane kupiga jeki sekta ya kilimo

NA SAMMY WAWERU GAVANA wa Benki Kuu ya Kenya (CBK), Patrick Njoroge amewahimiza wadau katika sekta ya kilimo kuungana kuipiga...