• Nairobi
  • Last Updated February 28th, 2024 8:55 PM

MIKIMBIO YA SIASA: Raila amempisha Kalonzo kuongoza Azimio la Umoja?

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka anaonekana kama ambaye ndiye amechukua wajibu wa kuongoza muungano wa...

KIGODA CHA PWANI: Teuzi za Jumwa, Mvurya zaleta mkondo mpya kwa siasa za Pwani

NA PHILIP MUYANGA KUTEULIWA kwa Bw Salim Mvurya na Bi Aisha Jumwa katika baraza la mawaziri katika serikali ya Dkt William Ruto...

SOKOMOKO WIKI HII: Sabina akaangwa na Wakenya kwa kuhoji maombi bungeni

NA CHARLES WASONGA MBUNGE maalum Sabina Chege Alhamisi alijipata pabaya alipoelekezewa cheche za lawama na Wakenya mitandaoni kwa...

JUNGU KUU: Rigathi, Mudavadi wazozania wizara

NA WANDERI KAMAU HUENDA tofauti za kisiasa zilizoibuka kati ya Rais William Ruto na aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred...

Raia kupoteza Azimio isipong’ata bungeni

NA CHARLES WASONGA MUUUNGANO wa Azimio la Umoja-One Kenya unakabiliwa na kibarua kikubwa cha kukosoa serikali ya Rais William Ruto...

KIGODA CHA PWANI: Ni nani atakuwa macho na masikio ya Rais Ruto Pwani?

NA PHILIP MUYANGA HUKU rais mteule Dkt William Ruto akisubiri kutwaa mamlaka rasmi siku ya Jumanne atakapoapishwa,inasubiriwa kuonekana...

JUNGU KUU: Kibarua cha Raila na Uhuru kuokoa Azimio

NA BENSON MATHEKA VIONGOZI wa Azimio la Umoja One Kenya, Uhuru Kenyatta na Raila Odinga, wanakabiliwa na kibarua kigumu kuudumisha...

Ruto pagumu kuwatosheleza ‘wageni wapya’

NA WANDERI KAMAU RAIS Mteule William Ruto anakabiliwa na kibarua kigumu kutimiza ahadi alizotoa kwa washirika wake wa kisiasa, kutokana...

MIKIMBIO YA SIASA: Itabidi watorokao Azimio ‘wajipange’

NA CHARLES WASONGA HUENDA kukatokea mvutano kati ya wanasiasa wanaogura muungano wa Azimio na kujiunga na Kenya Kwanza na wandani wa...

WALIOBOBEA: Ndwiga, waziri mtulivu aliyechapa kazi vyema

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK PETER Njeru Ndwiga, waziri wa Ustawi wa Vyama vya Ushirika katika Baraza la Mawaziri la Kwanza la Mwai...

DARUBINI YA WIKI

\\172.16.22.236\Content

MIKIMBIO YA SIASA: Kamket aliichakaza Kanu bondeni kwa kuunga Ruto

NA CHARLES WASONGA HATUA ya Mbunge wa Tiaty William Kamket kujiunga na muungano wa Kenya Kwanza (KKA) imetajwa kama mwanzo wa mwisho wa...