• Nairobi
  • Last Updated December 3rd, 2023 8:00 PM

IEBC: Kilio cha Raila kinampa Ruto maksi

NA LEONARD ONYANGO MALALAMISHI ya mwaniaji wa urais wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga dhidi ya Tume ya Uchaguzi (IEBC) huenda yakampa...

KIGODA CHA PWANI: Madai ya ‘mradi wa Joho’ yamtia doa Abdulswamad

NA PHILIP MUYANGA JE uhusiano wa karibu wa kisiasa ambao mbuge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir anao na Gavana Ali Hassan Joho...

WALIOBOBEA: Mudavadi ‘alilelewa’ na Moi ‘akafufuliwa’ na Raila

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK WYCLIFFE Musalia Mudavadi alikuwa sehemu ya serikali ya kwanza ya muungano nchini Kenya, ambayo...

Ukora wa bunge la 12 na kamati zake

NA CHARLES WASONGA UTENDAKAZI wa Bunge la 12 ambao ulitamatisha vikao vyake juzi na kutoa nafasi kwa wabunge na maseneta kushiriki...

JUNGU KUU: Wawaniaji wa ODM Nyanza hawapumui

NA CHARLES WASONGA WAWANIAJI wa viti mbalimbali, hasa ugavana, kwa tiketi ya ODM kati eneo la Nyanza watalazimika kujikaza kisabuni...

KIGODA CHA PWANI: Raila na Ruto kutumia ardhi kama chambo cha kampeni

NA PHILIP MUYANGA TAKRIBAN chini ya siku sabini kabla ya uchaguzi wa Agosti 9 kivumbi cha kampeni za kisiasa katika ukanda wa Pwani...

JUNGU KUU: Raila katika hatari ya kupoteza usemi Nyanza

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga anakabiliwa na hatari ya kupoteza viti vya ugavana katika ngome yake ya Nyanza kutokana...

KIGODA CHA PWANI: Ngoma ya umoja wa kisiasa Pwani imepoa, je kunani?

NA BENSON MATHEKA NI takriban miezi mitatu tu iliyosasalia kabla ya uchaguzi mkuu ujao na suala la umoja wa Pwani lililokuwa vinywani...

MIKIMBIO YA SIASA: Watumishi wafahamu afadhali nusu ya shari

NA LEONARD ONYANGO IDADI Kubwa ya maafisa wa serikali waliojiuzulu kufikia Februari 9, mwaka huu, na kujitosa katika siasa walikosa...

Mivutano Azimio inavyohujumu mipango ya Raila kuingia Ikulu

NA CHARLES WASONGA VUTA nikuvute ndani ya muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya huenda ikavuruga ndoto ya mgombeaji wake wa urais Raila...

Uhuru atakavyodhibiti serikali ya Raila

NA LEONARD ONYANGO RAIS Uhuru Kenyatta atakuwa na usemi mkubwa katika serikali ya muungano wa Azimio iwapo mwaniaji wake Raila Odinga...

WALIOBOBEA: Parpai aliangusha mbabe, akawa waziri miezi 7 tu

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK GEOFFREY Mapukori Parpai ni waziri aliyehudumu kwa muda mfupi, wa miezi saba, katika Baraza la Mawaziri la...