• Nairobi
  • Last Updated December 4th, 2023 6:37 PM

KIGODA CHA PWANI: Kingi atikisa siasa za Kilifi na Mombasa kwa kuhamia chama cha PAA

KUHAMIA kwa Naibu Gavana wa Mombasa, Dkt William Kingi hadi chama cha Pamoja African Alliance (PAA) kutoka kile cha Orange Democratic...

MIKIMBIO YA SIASA: Mudavadi ahisi tetemeko kuu

HUKU chama Amani National Congress (ANC) kikijiandaa kwa kura za mchujo zinazoanza Jumanne, Aprili 12, imebainika kuwa chama hicho...

JUNGU KUU: Ukosoaji wa Ruto wamletea presha

NA BENSON MATHEKA HATUA ya Naibu Rais, Dkt William Ruto ya kukosoa serikali imemsawiri kama kiongozi aliyeshindwa kutekeleza au...

Tiketi zinavyoweka Ruto mbele ya Raila

NA KAMAU WANDERI MWANIAJI wa urais wa muungano wa Azimio-One Kenya, Bw Raila Odinga, anakabiliwa na kibarua kigumu kukabili uasi ambao...

Mgombea mwenza wa ugavana Mombasa alivyo na usemi mkuu

NA PHILIP MUYANGA UTEUZI wa mgombea mwenza wa ugavana Kaunti ya Mombasa ni suala zito ambalo yeyote anayewania ugavana lazima alitilie...

Mtihani mgumu kwa Orengo akilenga ugavana Siaya

NA CHARLES WASONGA CHAMA cha ODM chake mgombeaji urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga kinakabiliwa na kibarua kikubwa katika...

Kufeli kwa BBI pigo kwa Raila na Ruto

NA CHARLES WASONGA AILA KUZIMWA kwa mchakato wa marekebisho ya Katiba kupitia mpango wa maridhiano (BBI) kumeonekana kuvuruga zaidi mpango...

BBI sasa ni mjeledi wa Ruto kutandika Azimio

NA WANDERI KAMAU BAADA ya majaji wa Mahakama ya Juu kufutilia mbali Mswada wa Kurekebisha Katiba (BBI), Ijumaa, mswada huo sasa unaonekana...

Rais Uhuru alainisha baraza la mawaziri bila mbwembwe tele

NA WANDERI KAMAU HUENDA Rais Uhuru Kenyatta akakosa kuwateua mawaziri wengine kujaza nafasi zilizoachwa wazi na mawaziri waliojiuzulu...

Karua avuruga mipango ya Azimio, Kenya Kwanza

NA BENSON MATHEKA HATUA ya kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ya kujiunga na muungano wa Azimio la Umoja imevuruga hesabu ya...

SOKOMOKO WIKI HII: Ukachero wa Kabogo ndani ya Kenya Kwanza

NA LEONARD ONYANGO NAIBU wa Rais William Ruto alipomnasa aliyekuwa Gavana wa Kiambu William Kabogo, ilikuwa habari njema kwa wafuasi wa...

Jumwa kupendelea wawaniaji wa kiume kwaibua gumzo kali

NA MAUREEN ONGALA MTINDO ambao Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, anatumia kwa kampeni zake kuwania ugavana Kaunti ya Kilifi katika...