• Nairobi
  • Last Updated December 4th, 2023 7:22 PM

Mchujo: ODM yazidi kujiponza

NA CHARLES WASONGA HATUA ya chama cha ODM kukumbatia mfumo wa uteuzi unaoipa uzito tafiti za kura za maoni ndio inachangia wanachama wakuu...

Huenda Uhuru asiweze kudhibiti ‘Rais Raila’

NA LEONARD ONYANGO MPANGO wa Rais Uhuru Kenyatta kutaka kudhibiti serikali ya kinara wa ODM Raila Odinga iwapo atachaguliwa kuwa rais...

Mbona Uhuru hampigii debe Raila Mlimani?

NA CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amewaacha wakereketwa wa vuguvugu la Azimio la Umoja na maswali mengi kuhusu ni kwa nini...

Omanga kuzidi kunengua mauno kuonyesha utiifu kwa Ruto

NA LEONARD ONYANGO SENETA Maalumu Millicent Omanga ni miongoni mwa ‘makamanda’ wa jeshi la Ruto ambao wako tayari kumlinda kwa hali ma...

Prof Githu Muigai: Msomi mstaarabu na mwanasheria mtajika

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK Professa Githu Muigai alijiunga na Baraza la Mawaziri kama kipenzi cha wengi. Kama mtangulizi wake Amos...

Muthama atafuna ngome ya Kalonzo

NA BENSON MATHEKA MWENYEKITI wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Johnson Muthama angali mwiba kwa kiongozi wa chama cha Wiper...

Hofu Ruto alijikwaa kisiasa nje

NA WANDERI KAMAU NAIBU Rais William Ruto anaonekana kujikwaa zaidi kisiasa, kufuatia ziara yake katika nchi za Amerika na Uingereza...

KIGODA CHA PWANI: Hofu wanawake wakikosa kujitegemea kisiasa Pwani

NA FARHIYA HUSSEIN KILA mara chaguzi zinapozidi kukaribia, wanawake wengi nchini Kenya huwa wanajitokeza na kujitosa kwenye nyanja...

WALIOBOBEA: Muthaura alichapa kazi akaaminiwa na Kibaki

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK MAJINA ya wanaume na wanawake waliofanikisha utawala wa miaka kumi wa Rais Mwai Kibaki yanapotajwa, jina...

Kiini halisi cha wawaniaji kurukaruka

NA CHARLES WASONGA IMEBAINIKA kuwa hofu ya kushindwa katika kura za mchujo na mabadiliko kwenye ulingo wa siasa maeneo mbalimbali nchini...

Amerika, NATO hawatamuweza Putin kwa sasa

NA CHARLES WASONGA VIKWAZO ambavyo Mataifa ya Magharibi yamekuwa yakitekeleza dhidi ya Urusi ndani ya wiki moja iliyopita vitaathiri...

Mgogoro wa tiketi Azimio, raha kwa UDA

NA LEONARD ONYANGO MUUNGANO wa Azimio la Umoja wake kinara wa ODM Raila Odinga unakabiliwa na hatari ya kupoteza vigogo wakuu huku mvutano...