• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

WALIOBOBEA: Nyota ya Kituyi ilianza kung’aa akiwa chuoni

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK JINSI kijana Daudi alivyomuangusha Goliath kwa vipande vitano vya mawe huku waliotazama wakikosa kuamini,...

WALIOBOBEA: Akaranga alivyobadilisha sekta ya umma nchini

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK MOSES Akaranga, mtaalamu wa Benki aliyebadilika kuwa kasisi, anakumbukwa kwa kuanzisha kandarasi za kazi...

SOKOMOKO WIKI HII: Cherera alivyopiga chenga Wakenya kwa ‘mahesabu ya ajabu’

NA CHARLES WASONGA WIKI hii Naibu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Juliana Cherera aliwapa Wakenya zoezi gumu la...

Wingu jeusi lakumba mustakabali wa kisiasa wa Mudavadi baada ya kushindwa katika ngome yake

NA CHARLES WASONGA MUSTAKABALI wa kisiasa wa kiongozi wa Chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi umo hatarini baada ya...

Nguvu za Ruto Mlimani zatikisa usemi wa Rais

NA WANDERI KAMAU USHINDI mkubwa wa Naibu Rais William Ruto katika eneo la Mlima Kenya kwenye uchaguzi uliofanyika Jumanne, umemweka Rais...

Mkuki kwa Raila, kwa Ruto mchungu

NA CHARLES WASONGA VUTA nikuvute inayoendelea kati ya serikali na mrengo wa Kenya Kwanza kuhusiana na madai ya kutumika kwa machifu...

SOKOMOKO WIKI HII: Wajackoyah na mdogowe walivyopigwa na ‘radi’ kali

NA CHARLES WASONGA NUSRA mgombeaji wa urais wa chama cha Roots, Prof George Luchiri Wajackoyah ampoteze mwaniaji mwenza wake, Justina...

JUNGU KUU: Hatari ya Mlima kutengwa na rais

NA WANDERI KAMAU ENEO la Mlima Kenya liko hatarini kutengwa kisiasa baada ya uchaguzi mkuu wa Jumanne, kwa kukosa kuwa na chama kimoja...

WALIOBOBEA: Musikari aliiga Kibaki, akakabili ufisadi vikali

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK MUSIKARI Nazi Kombo alikuwa mwanafunzi wa kidato cha sita mwaka wa 1966 wakati darasa lake lilimwalika...

IEBC: Kilio cha Raila kinampa Ruto maksi

NA LEONARD ONYANGO MALALAMISHI ya mwaniaji wa urais wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga dhidi ya Tume ya Uchaguzi (IEBC) huenda yakampa...

KIGODA CHA PWANI: Madai ya ‘mradi wa Joho’ yamtia doa Abdulswamad

NA PHILIP MUYANGA JE uhusiano wa karibu wa kisiasa ambao mbuge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir anao na Gavana Ali Hassan Joho...

WALIOBOBEA: Mudavadi ‘alilelewa’ na Moi ‘akafufuliwa’ na Raila

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK WYCLIFFE Musalia Mudavadi alikuwa sehemu ya serikali ya kwanza ya muungano nchini Kenya, ambayo...