• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 10:50 AM

VYAMA: Chama cha Uanahabari katika shule ya upili ya Mbirikene, Meru

NA CHRIS ADUNGO CHAMA cha Uanahabari katika shule ya upili ya Mbirikene iliyoko Imenti Kaskazini, Kaunti ya Meru, kinashughulikia...

NDIVYO SIVYO: Matumizi yaliyozoeleka ya kauli ‘kwa mpigo’ ni potoshi

NA ENOCK NYARIKI KATIKA mazungumzo, kauli ‘kwa mpigo’ hutumiwa kwa maana ya ushindi mkuu au ushindi usiotarajiwa. Hivi ndivyo...

NGUVU ZA HOJA: Mabunge ya Kenya yatuzwa na chama cha CHAUKIDU kwa kustahi Kiswahili

NA PROF IRIBE MWANGI ALHAMISI iliyopita niliandika kuhusu Kongamano la Kiswahili lililoandaliwa na Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili...

MWALIMU WA WIKI: Kwa Akinyi ualimu si kazi bali uraibu hasa!

NA CHRIS ADUNGO ZAIDI ya kuwa na ujuzi wa kufundisha na kipaji cha kutumia vifaa mbalimbali vya ufundishaji, mwalimu bora...

GWIJI WA WIKI: Kelvin Nyakundi

NA CHRIS ADUNGO BAADA ya kukamilisha KCSE mnamo 2019, Kelvin Nyakundi alitamani sana kusomea uanahabari. Hiyo ni taaluma aliyovutiwa nayo...

NDIVYO SIVYO: Ni kosa kusema ‘gwara’, unafaa kusema ‘paruza’

NA NYARIKI NYARIKI KATIKA makala yaliyotangulia, tuliangazia sababu ambazo yamkini huwafanya watu kutumia neno ‘gwara’ kwa maana ya...

MWALIMU: Siri yake darasani iko katika nyimbo

NA CHRIS ADUNGO KINACHOMTOFAUTISHA Bw George Kinyua na walimu wengine ni upekee na wepesi wake wa kutunga nyimbo rahisi zinazowezesha...

KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Ukikataa kubadilika ujue kuwa mabadiliko ambayo yanatokea maishani ndiyo yatakubadilisha

NA WALLAH BIN WALLAH USIPIGANE wala kupingana na mabadiliko maishani! Mabadiliko ni sehemu ya maisha duniani. Kila kitu...

GWIJI WA WIKI: Annette Odusi

NA CHRIS ADUNGO MATAMANIO ya Annette Odusi tangu utotoni yalikuwa kuwa mwimbaji maarufu wa nyimbo za mtindo wa kufokafoka. Kipaji cha...

TALANTA: Gwiji wa zumari

NA PATRICK KILAVUKA ALIONESHA kwamba uwezo wa kutumia mikono waweza kuwa wa heri katika kutimiza ndoto alipoibuka bora katika mashindano...

MWALIMU WA WIKI: Makau ni mwalimu stadi na mwandishi

NA CHRIS ADUNGO AKIJIVUNIA tajriba ya zaidi ya miaka 20 katika taaluma ya ualimu, Bw Silvester Lunyiro Makau anakiri kuwa mtaala wa...

NGUVU ZA HOJA: Chuo Kikuu cha Baraton ni mfano wa kuigwa na asasi za elimu ya juu

NA PROF CLARA MOMANYI KATIKA makala yangu ya tarehe 1/9/2022 niliweka bayana umuhimu wa Tume ya Mackay katika kusimika matumizi ya...