• Nairobi
  • Last Updated May 8th, 2024 9:50 AM

PENZI LA KIJANJA: Chali akikuvunja moyo mteme mara moja, la sivyo utajuta!

NA BENSON MATHEKA VIDOSHO, komeni kukwamilia machali wanaowavunja moyo na kuwatesa kwa tabia zao chwara. Kwa nini ujisononeshe...

Wanamazingira waingiwa na wasiwasi mikoko ikifa Kitangani

NA KALUME KAZUNGU WATUNZAJI na wanaharakati wa kuhifadhi mazingira katika Kaunti ya Lamu wanazidi kukuna vichwa kufuatia kufeli mara...

Karen Nyamu: Ninaomba Mungu abadili ajenda ‘mume wangu’ Samidoh na Edday warudiane 

NA SAMMY WAWERU SENETA maalum Karen Nyamu amesema ombi lake limekuwa ni kuona ‘mumewe’ Samuel Muchoki almaarufu ‘Samidoh’ na...

Tanzania yatesa soko la kitunguu kwa ‘kususia’ kilimo

NA MWANGI MUIRURI WAKULIMA, madalali na wachuuzi wa kitunguu nchini wanaendelea kuvuna pato la juu lililoongezeka hadi kwa asilimia 875...

Betty Njeri: Mkome kutembea na pini za kutia pancha penzi letu

NA MWANGI MUIRURI MBUNGE Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Murang'a Bi Betty Njeri Maina amesema Ijumaa, Septemba 1, 2023, kwamba baadhi...

Fahamu tamaduni za jamii ya Wanubi

NA FARHIYA HUSSEIN KATIKA eneo la Changamwe, Kaunti ya Mombasa, sauti zinasikika za watu wakipiga vigelegele, makofi na kuimba nyimbo za...

Dogo wa umri wa miaka 10 kuhutubia kongamano la tabianchi la ACS23

BONIFACE MWANGI Na WINNIE ONYANDO KIJANA Nigel Waweru, mwenye umri wa miaka 10, ameteuliwa kuhutubu katika kongamano la mabadiliko ya...

SHINA LA UHAI: Hatari, tija za mwanamke kujifungua akiwa na umri wa zaidi ya miaka 40

NA PAULINE ONGAJI PINDI baada ya pacha wake watatu kuzaliwa mwezi wa Aprili, Bi Purity Toyian, 42, aligundulika kuugua deep vein...

Maoni mseto kuhusu sare mpya za polisi baadhi wakitaka mifuko iondolewe

NA SAMMY WAWERU PINDI tu baada ya Idara ya Huduma ya Polisi Nchini (NPS) kuzindua aina mpya ya sare za maafisa wake, Wakenya...

Wataalam wa afya wataka sigara kupigwa marufuku nchini

NA SIAGO CECE WATAALAM wa afya wameitaka serikali kupiga marufuku kilimo cha tumbaku na matumizi ya sigara nchini wakisema inazidi...

Kuria alazimika kutumia bodaboda kuhudhuria mkutano wa mawaziri dereva wake alipochelewa kumchukua

NA SAMMY WAWERU  WAZIRI wa Biashara, Moses Kuria alilazimika kutumia bodaboda mnamo Jumanne, Agosti 29, 2023, kukwepa kuchelewa...

Nani walikuwa wamemteka nyara Bwanyenye Singh Rai? 

NA NYABOGA KIAGE Kizungumkuti kuhusu waliohusika na utekaji wa bwanyenye Singh Rai ambaye aliachiliwa jana Agosti 27, 2023 kinaendelea...