• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 8:50 AM

Salasya akwepa swali kuhusu mabadiliko ya tabianchi

NA RICHARD MAOSI MBUNGE wa Mumias Mashariki Peter Salasya amewashangaza Wakenya na watumiaji wengine wa mitandao ya kijamii kwa...

Ursula von der Leyen aahidi Afrika sapoti ya Ulaya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi

HELLEN SHIKANDA Na MARY WANGARI RAIS wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU), Ursula von der Leyen akihutubu kwenye Kongamano Kuu la Afrika...

Mambo ni matatu: Gachagua asema yuko tayari ‘kusulubishwa kisiasa’ kufuatia mageuzi ya kahawa

NA SAMMY WAWERU   NAIBU Rais Rigathi Gachagua amesisitiza kwamba hatalegeza kamba vita dhidi ya mawakala na mabroka katika sekta ya...

Mwanamke Murang’a alivyoshambulia sehemu nyeti za mwanamume aliyetaka kumnyonga

NA MWANGI MUIRURI NOVEMBA 4, 2022, Lucy Muthoni, 47, alijipata kwenye njiapanda - alipokumbana na mwanamume aliyekuwa na nia kumuua kwa...

Shamba la kuvuna upepo Marsabit

NA RICHARD MAOSI. JAMII za wafugaji wa maeneo kame ya Gatab na Mlima wa Kulal, Kaunti ya Marsabit wana mengi ya kujivunia mojawapo...

Karen Nyamu: Nilisaidia mke wa Samidoh kupata tenda 

NA SAMMY WAWERU  KAREN Nyamu, ambaye ni seneta maalum amedai alisaidia aliyekuwa mke wa mwanamuziki Samuel Muchoki - Samidoh, Edday...

Nyani wasumbufu wanaovamia kuku na kutwanga walevi barabara ya Nakuru – Nairobi  

NA RICHARD MAOSI WAFUGAJI wa kuku kutoka mtaa wa Barnabas na Pipeline kwenye barabara kuu ya Nakuru -Nairobi wanaendelea kukadiria...

Serikali kupeleka wakulima kadha Colombia kujifunza uzalishaji kahawa

NA SAMMY WAWERU SERIKALI ya Kenya imesema itapeleka wakulima wa kahawa Columbia kuhudhuria Maonyesho ya Kahawa ya Colombia 2023, katika...

Karen Nyamu: Samidoh alinichagua kwa sababu huvalia maridadi 

NA SAMMY WAWERU  KAREN NYAMU mpango wa kando wa msanii wa Mugithi, Samuel Muchoki almaarufu Samidoh, ameelezea mojawapo ya sababu...

Vijana waonywa kuhusu ‘beach parties’ Malindi Ukimwi ukienea

NA MAUREEN ONGALA SHIRIKA la vijana la Dream Youth Achievers Organisation (DAYO) limeshirikiana na serikali ya Kaunti ya Kilifi kutoa...

Bei ya unga wa mahindi Mlima Kenya yapungua hadi Sh15 kipimo cha kilo mbili

NA MWANGI MUIRURI  FAMILIA nyingi katika Kaunti ya Murang'a kwa sasa zinachukulia hadithi za bei ghali ya unga kama hekaya za abunuwasi...

Harusi yetu tuliita watu 50 pekee, si uchoyo, ni vile hatukutaka makeke

NA WANGU KANURI DUNIANI sherehe kubwa haswa za harusi zimepewa kipaumbele huku umati mkubwa ukifurika ukumbi huo wa harusi. Hata...