• Nairobi
  • Last Updated May 6th, 2024 8:55 PM

Kanisa waumini hushiriki ngono Nairobi baada ya kulishwa chakula cha kiroho lafichuliwa

Na MWANGI MUIRURI IMEBAINIKA kwamba kanisa ambalo washirika huvua nguo na kubakia uchi wa mnyama, kisha kuanza kujamiiana baada ya...

Zari Hassan alenga kupata mtoto wa sita

Na MWANDISHI WETU MWANASOSHOLAITI Zari Hassan ametangaza kuwa ananuwia kupata mtoto wa sita na mumewe Shakib Lutaaya. Zari kupitia...

Wakristo Mwea wadaiwa kukumbatia ushirikina, nyuki wakitumika kuhangaisha watu

Na MWANGI MUIRURI MUUNGANO wa Makasisi wa dini asili katika Kaunti ndogo ya Mwea iliyoko Kaunti ya Embu umekemea wengi wa wenyeji kwa...

Genge linaloiba mifugo Murang’a na kuacha kinyesi cha binadamu katika boma

Na MWANGI MUIRURI GENGE la uhalifu linalovamia maboma ya watu Murang'a na kuiba mifugo, kisha kuacha limekunia katika boma limeibuka....

Karen Nyamu anunulia Samidoh pombe ya bei ghali kusherehekea Sikukuu ya kina Baba

Na SAMMY WAWERU SENETA maalum Karen Nyamu amenunulia ‘mchumba wake’ Samuel Muchoki ‘Samidoh’ pombe ya kima cha Sh420, 000...

Amina Khalef amlilia Ali Kiba kutia saini stakabadhi za talaka

NA MERCY KOSKEI MKE wa staa wa Bongo, Ali Kiba kutoka nchini Kenya, Amina Khalef amevunja kimya chake kuhusu ndoa yake na mwimbaji...

Makahaba Thika wapandisha bei ya huduma, wakilalamikia ugumu wa maisha na ada za polisi

NA MWANGI MUIRURI MAKAHABA Mjini Thika, Kiambu wametangaza kuanza kutekeleza nyongeza ya huduma zao kutokana na kile wanataja kama...

AMINI USIAMINI: Ndege anayefahamika kama Pelegrine falcon ndiye anayepaa kwa kasi zaidi duniani

NA MWORIA MUCHINA PELEGRINE falcon (Falco peregrinus) ndiye ndege anayepaa kwa kasi zaidi duniani. Huvamia mawindo yake kutoka juu...

Tiba za nyumbani kwa kichefuchefu

NA MARGARET MAINA [email protected] UMEWAHIi kujisikia kwamba tumbo lako haliko sawa na kwamba unakaribia kutapika? Ikiwa jibu...

Utajuaje familia yenye mshikamano na ushirikiano mzuri?

NA MARGARET MAINA [email protected] JAPO changamoto za maisha zinaweza kufanya watu kukosa utulivu, kwa baadhi ya wanafamilia,...

Bajeti 2023/24: Idara ya Polisi yatengewa Sh800 milioni kuboresha magari

NA SAMMY WAWERU IDARA ya Kitaifa ya Huduma za Polisi (NPS) imepata mgao wa Sh800 kusaidia kuboresha magari. Waziri wa Fedha na Hazina...

Makahaba Nairobi walia wenzao kutoka Uganda na Tanzania wanawapokonya ‘wateja’

Na MWANGI MUIRURI MAKAHABA nchini wanaohudumu katika Kaunti ya Nairobi wameteta kwamba wenzao kutoka Uganda na Tanzania, wameteka soko...