• Nairobi
  • Last Updated May 6th, 2024 8:55 PM

SHINA LA UHAI: Tahadhari minyoo huathiri wakubwa kwa wadogo

NA WANGU KANURI WAKENYA zaidi ya milioni 10 wanaugua maradhi ya minyoo huku wengine milioni 16 wakiwa kwenye hatari ya kuugua maradhi...

Wanafunzi wanufaika na sare za shule

Na MERCY KOSKEI Zaidi ya watoto 250 kutoka familia maskini za vitongoji duni vya Rhonda na Mwariki, Kaunti ya Nakuru wamenufaika na sare...

DINI: Kusamehe ni uhodari na ushujaa mkubwa

NA PADRE FAUSTINE KAMUGISHA KUSAMEHE ni ushujaa. “Walio dhaifu hawawezi kusamehe kamwe. Msamaha ni sifa ya wenye nguvu,” alisema...

Mtego wa Azimio ulivyomnasa Ruto

NA BENSON MATHEKA MAZUNGUMZO kuhusu maridhiano yanayohusisha wabunge wa miungano miwili ya kisiasa nchini yameonyesha dalili za kugonga...

Hali ya maisha ilivyo katika ‘Bethlehemu’ ya Shakahola

ALEX KALAMA Na FARHIYA HUSSEIN KIJIJI cha Shakahola, ambacho kimepata umaarufu kwa wiki kadha sasa kwa sababu ya dhehebu la ajabu...

June anavyowika tasnia ya uigizaji

Na JOHN KIMWERE  'MGAAGAA na upwa hali wali mkavu,' ni methali inayohimiza wanadamu kutovunjika moyo kwenye harakati za tamanio la...

Mishie analenga kufikia Zoe Saldana 

Na JOHN KIMWERE  MWANZO kila mja hujipa matumaini ambapo huwa ni hali ya kutarajia.  Ni katika hali ya kutumainia na...

Bernard Wanjohi Njathi: Mwanzilishi wa shirika la kusaidia wafugaji kuweka data muhimu

Na MAGDALENE WANJA BERNARD Wanjohi Njathi, 34, alikuwa na ndoto ya kuwa daktari lakini alipokosa, aliamua kusomea taaluma ya Usimamizi...

Akothee: Mume wangu ni moto masuala ya mahaba

Na SAMMY WAWERU MWANAMUZIKI tajika Esther Akoth almaarufu Akothee amemmiminia sifa chungu nzima mumewe mpya katika masuala ya...

Kitakachofuata kuhusu mauaji ya Jeff Mwathi?

Na SAMMY WAWERU IDARA ya Upelelezi wa Jinai na Uhalifu (DCI), kitengo maalum kinachoshughulikia masuala ya mauaji kilitangaza jana...

Mkulima Wangari Kuria ambaye amejizolea lakabu ‘Farmer on Fire’ kutokana na juhudi zake shambani

NA MAGDALENE WANJA MKULIMA Wangari Kuria anatambulika kwa jina 'Farmer on Fire', kutokana na juhudi zake shambani. Wangari pia...

Muziki: Wakili Angela Ndambuki aling’ara sana na kundi la Tattu

NA MAGDALENE WANJA KATIKA miaka ya 2000 nchini Kenya, kulikuwa na bendi iliyojumuisha akina dada watatu ambao walivutia wengi kwa muziki...