• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 6:07 PM

PENZI LA KIJANJA: Valentino yabisha hodi huku mapenzi yakiyumba

NA BENSON MATHEKA NI mwezi wa mapenzi na zimebaki siku tisa kuadhimisha Valentine’s Day, yaani siku ya wapendanao na baadhi ya watu -...

JUKWAA WAZI: Uhuru, Methu waelekezeana mishale kuhusu suala la kulipa ushuru

NA WANDERI KAMAU KULIPA ushuru ni kujitegemea. Ndiyo kauli ya Halmashauri ya Kukusanya Ushuru Kenya (KRA). Hata hivyo, swali linaloibuka...

MIKIMBIO YA SIASA: Kujiuzulu Mwakwere kuumiza Wiper Pwani

NA CHARLES WASONGA USHAWISHI wa chama cha Wiper unatarajiwa kushuka katika eneo Pwani kufuatia kujiuzulu kwa mwenyekiti wake wa kitaifa...

MALENGA WA WIKI: Nyakundi ni mshairi na mhariri wa riwaya, tamthilia

NA HASSAN MUCHAI DUKE Nyagwoi Nyakundi almaarufu mwalimu Nyakundi alizaliwa mwaka wa 1994 eneo la Ogembo, katika Kaunti ya Kisii. Ni...

KASHESHE: ‘Nameless alinichanua’

NA SINDA MATIKO MAUREEN Kunga amefichua namna Nameless alivyomshauri baada ya kutapeliwa na produsa aliyekuwa akimfanyia kazi nguli...

DOMO: Mtu asiniambie kuhusu mapenzi

NA MWANAMIPASHO NDIO maana kila siku ya maisha yangu, huwa siyachukulii mapenzi kwa uzito. Sipendi kitu cha kunichanganya. Na kama...

KASHESHE: Bien atetea ‘wivu’ wa mkewe

NA SINDA MATIKO BIEN-Aime Baraza kamkingia mke wake dansa Chiki Kuruka kuhusiana na kisanga cha wikendi iliyopita. Staa huyo alikuwa...

NGUVU ZA HOJA: Lugha ya Kiswahili ina uwezo wa kuimarisha umajumui wa mataifa ya bara zima la Afrika

NA PROF CLARA MOMANYI KARNE chache zilizopita, Kiswahili kilichukuliwa kama lugha ya watu wa chini kijamii. Kilichukuliwa kama lugha...

Usokotaji manyoya wapiga jeki kina mama wa Kibra

NA LABAAN SHABAAN KIKUNDI cha kina mama kwa jina Ayani eneobunge la Kibra, Kaunti ya Nairobi kimedumu zaidi ya miongo mitatu tangu...

TUJIFUNZE UFUGAJI: Weka sheria kudhibiti wanaoingia kwenye makao ya kuku wako

NA SAMMY WAWERU KENCHIC ni mojawapo ya kampuni kubwa katika uzalishaji wa kuku nchini na ina mipango miwili kuhakikisha wateja wake...

UFUGAJI: Afurahia ufugaji kuku wa mayai licha ya visiki vingi

NA SAMMY WAWERU PRISCA Njeri amekuwa katika biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai kwa zaidi ya miaka saba. Aliingilia ufugaji bila...

Jinsi alivyoanzisha kituo cha michezo kuzuia watoto kuwa waraibu wa simu, vifaabebe

NA MAGDALENE WANJA KATIKA maisha ya sasa, watoto wengi wanatumia muda mwingi kwenye vifaa kama vile simu na tarakilishi ambapo wao...