• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 8:50 AM

KASHESHE: Zuchu ‘ajishtaki’

NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI wa lebo ya WCB Zuhura Othman almaarufu Zuchu kamtaka mumewe asiwe na matarajio makubwa sana juu yake hasa...

KIKOLEZO: Vita vya MCSK, KECOBO vyafikia patamu

NA SINDA MATIKO MALUMBANO kati ya shirika la Music Copyright Society Of Kenya (MCSK) na Bodi ya Hakimiliki nchini - Kenya Copyright...

NGUVU ZA HOJA: Walimu wa lugha ya Kiswahili waandaliwe vyema kwa ajili ya Mtaala wa Kiumilisi (CBC)

NA PROF JOHN KOBIA WANAFUNZI wa gredi ya saba wanatarajiwa kuanza masomo yao ya sekondari ya awali Jumatatu wiki ijayo. Hawa ni...

Dhana ya Utamaushi inavyokuzwa katika ‘Chozi la Heri’

JUMA hili tutashughulikia namna wahusika mbalimbali katika riwaya ya ‘Chozi la Heri’ walivyotamauka. Ridhaa anatamauka kufuatia...

‘Wiki ya Lugha za Kiafrika’ ni mwamko mpya kuhusu nafasi ya lugha za kiasili katika elimu

NA BITUGI MATUNDURA MBONA tunaonea aibu lugha zetu za asili? Jibu la swali hili linapatikana katika kuitalii hali ya jinsi ambavyo...

MWALIMU WA WIKI: Martin Gitonga

Na CHRIS ADUNGO PAMOJA na kutumia vifaa vya kidijitali ambavyo husisimua wanafunzi, matumizi ya video, michoro na picha za rangi kupitia...

TEKNOLOJIA: Sifa za kipekee za simu aina ya Tecno Phantom X2

NA WINNIE ONYANDO MNAMO Januari 17, 2023, kampuni ya kutengeneza simu ya Tecno ilizindua simu mpya aina ya Phantom X2 inayolenga...

MAPISHI KIKWETU: Wali wa kukaanga ulio na halwaridi na mabamia

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 15 Muda wa mapishi: Dakika 40 Walaji: 3 Vinavyohitajika ...

Yeye hugeuza uchafu kuwa sanaa inayolipa

NA LABAAN SHABAAN KELVIN Kilonzo, 28, hakufaulu kuendeleza kisomo chake zaidi ya kiwango cha shule ya upili. Katika kusaka njia ya...

ZARAA: Aliachana na mahindi kahawa iliponyanyuka

NA PETER CHANGTOEK KAUNTI ya Narok hujulikana kwa uzalishaji wa ngano, mahindi na viazi. Hata hivyo, kuna wakulima walioacha ukuzaji...

UFUGAJI: Wachina huwania nyama ya sungura wao kila wakati

NA PETER CHANGTOEK UFUGAJI wa sungura ni shughuli ambayo inaweza kumfaidi mfugaji, hasa iwapo ataiendeleza kwa njia ifaayo. Sungura wana...

MUME KIGONGO: Wazee wanywe maji hata wasipohisi kiu – watafiti

NA CECIL ODONGO WAZEE wanahitaji kunywa maji mara kwa mara hata wasipohisi kiu kuliko vijana, utafiti umebaini. Japo kunywa maji mara...