• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 7:05 PM

DOMO: Sanaa ya injili ya Kenya hakika imejaa vibonzo

NA MWANAMIPASHO NISHASEMA hapa mara nyingi tu kwamba ingawaje wakati mwingine huwa nakubaliana na wengi wenu kuwa Eric Omondi ni mwehu,...

KASHESHE: Rapa Wakazi amtoa rangi Babu Tale

NA SINDA MATIKO RAPA mkali wa Bongo Wakazi amemtoa rangi Babu Tale, meneja wa Diamond Platnumz baada ya Tale kudai wimbo mpya wa Diamond...

Washindi wa insha za ‘Taifa Leo’ watuzwa Sh50,000 kila mmoja

NA CHRIS ADUNGO WANAFUNZI sita walioibuka mabingwa wa kitaifa katika ‘Shindano la Uandishi wa Insha za Taifa Leo’ katika miaka ya...

Juma Jux ajibu lawama za kuchota kipenzi afananaye ‘ex’ wake, Vanessa Mdee

Na SINDA MATIKO TAKWIMU za YouTube zinaonyesha kuwa wakazi wa Pwani ya Kenya hufuatilia sana miziki ya Bongo kutokana na kuwa ni maeneo ya...

LISHE: Faida na manufaa ya mafuta ya kanola

NA MARGARET MAINA [email protected] SISI sote tumezingatia zaidi afya katika nyakati za leo baada ya kutambua ukweli kwamba...

KIKOLEZO: Hii ‘Real Housewives of Nairobi’ itaweza?

NA SINDA MATIKO NAFIKIRI taarifa tayari unazo na hata kama wewe ni mgeni mjini, lazima utakuwa umesikia kwamba mjini kama miji mingine...

KASHESHE: Xenia aingizwa mradi wa Spotify

NA SINDA MATIKO MSUPA Xenia Manasseh amekuwa staa wa hivi punde Mkenya, kuingizwa kwenye mradi wa EQUAL unaondeshwa na kampuni ya...

ABC Jam City ya Athi River yaeneza injili kwa ustadi mkubwa

NA PATRICK KILAVUKA KWAYA ya ABC Jam City, Athi River, Kaunti ya Machakos imekuwa chambo cha kueneza injili, kukuza talanta za waimbaji na...

Jinsi mraibu wa unywaji pombe anavyoweza kujinasua

NA MARGARET MAINA [email protected] KUACHA ulevi ni lengo ambalo si rahisi kwa mraibu kuliafikia. Mraibu anahitaji kujitolea,...

Je, kuna chakula cha kukusaidia usizeeke haraka?

NA MARGARET MAINA [email protected] KULA chakula chenye virutubisho vingi ni mojawapo ya njia kuu zinazoweza kukusaidia ujisikie...

Kiswahili na Viswahili: Je, kuna haja au hatari yoyote ya kuwa na aina moja tu ya Kiswahili Sanifu?

NA PROF IRIBE MWANGI MNAMO Novemba 24 mwaka jana (2022), niliandika kumhusu Mzee Abdilatif Abdala nikasema: (yeye ni) jagina, ustadh,...

NDIVYO SIVYO: Tofauti iliyopo baina ya maneno ‘moyo’ na ‘roho’

NA ENOCK NYARIKI LUGHA za kwanza hukumbwa na utata katika kupambanua msamiati ‘roho’ na ‘moyo’. Waama, katika lugha hizo, halipo...