• Nairobi
  • Last Updated May 15th, 2024 8:55 PM

KIPWANI: Hawa Nadra wan’leta ile vibe ya ‘Tatuu’

NA SINDA MATIKO MARA ya mwisho kwa tasnia yetu kuwahi kushuhudia kundi la muziki la kina dada ilikuwa ni katika miaka ya 2000. Unakumbuka...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Jinsi ya kunakili na kuhifadhi Kurani akilini

NA HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu Subuhaanahu wata’ala, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu. Swala na salamu...

TALANTA: Kwaya wembe kwa kueneza Injili na kukuza vipawa mashindanoni

NA PATRICK KILAVUKA MJA hana chochote anachoweza kumrudishia Mola kama gharama ya maisha yake ambayo Mwenyezi Mungu Amemjalia!...

Jinsi ustawishaji wa maua na mimea ya kuvutia unavyompa kipato, utulivu wa moyo

Na MAGDALENE WANJA MNAMO Machi 2019, Bi Marlene Mweru, aliamua kugawa mimea na maua ambayo alikuwa amepanda hapo awali nyumbani kwao ili...

MAGWIJI WA WIKI: The Munenes

Na CHRIS ADUNGO MAURINE Nyawira Munene ni mke wa Dennis Munene Kabiru ambaye pia ni mhubiri na mwimbaji stadi wa nyimbo za...

MAPISHI KIKWETU: Pancakes za shayiri, ndizi na iliki

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 10 Muda wa mapishi: Dakika 15 Walaji: 2 Vinavyohitaji ...

MAPISHI KIKWETU: Jinsi ya kuandaa kari ya nyama ya ng’ombe

NA MARGARET MAINA [email protected] KWA kutengeneza mlo huu, unaweza kutumia vitunguu vingi vyekundu, nyanya, pilipili, na...

MAPISHI KIKWETU: Pasta ya kuku yenye krimu na uyoga

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 1 Muda wa mapishi: Dakika 40 Walaji: 2 Vinavyohitajika ...

AFYA: Je, chakula bora kwa ajili ya afya ya moyo ni kipi hasa?

NA MARGARET MAINA [email protected] MLO wa moyo hutanguliza vyakula kama vile mboga mboga, nafaka nzima, na samaki wenye mafuta....

Sababu zinazoweza kufanya mtu kuongeza uzani kupindukia ijapokuwa hali sana

NA MARGARET MAINA [email protected] Inasikitisha wakati uzani wako unaendelea kuongezeka hata wakati unakula kidogo. Makosa ya...

ZARAA: Makadamia yalishuka bei 2020, uongezeaji thamani ukamuokoa

NA SAMMY WAWERU UGONJWA wa Covid-19 ulipotua nchini Machi 2020, Wangui Ikahu ni mmoja wa wawekezaji katika sekta ya kilimo walioathirika...

UFUGAJI: Mbuzi wamemfungulia milango ya kulipa karo

NA JOHN NJOROGE WAKATI Harrison Simotwo alihamia boma lake jipya 1996 kutoka Baringo Kaskazini, alianza kufuga ng’ombe wa maziwa na...