• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Dalili za upungufu wa iodini mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] IODINI ni madini muhimu ambayo hupatikana katika samaki wa baharini. Tezi ya binadamu...

Ukweli kuhusu nywele kavu na jinsi ya kumaliza tatizo hili

NA MARGARET MAINA [email protected] Wakati ukigusa nywele zako unahisi ukavu na pia kuwa nyepesi sana, huwa ni rahisi kukatika...

Wakulima wahimizwa kukuza miti ya matunda

NA SAMMY WAWERU HUKU serikali na wadauhusika wa mazingira wakiboresha mikakati kupanda miti nchini, wakulima wamehimzwa kukuza miti ya...

Jinsi ya kufanya mazoezi kwa ufanisi katika maisha ya kila siku

NA MARGARET MAINA [email protected] UNAWEZA kuhisi kulemewa unapojaribu kupata wakati wa kufanya mazoezi. Sote aghalabu...

PAUKWA: Ama kweli nzi kufa kidondani si haramu

NA ENOCK NYARIKI JANJA alikuwa amepita na kupituka takribani pembe zote za mji wa Leondani. Siku hiyo alivuka mtaro uliosomba uchafu...

DARUBINI YA WIKI: Toleo Nambari 15

DARUBINI YA WIKI: Toleo Nambari 15 | Desemba 11, 2022 De La Rue yakabili KRA MHARIRI: Kazi za IEBC zisitumiwe kuangamiza taaluma za...

KIPWANI: Hivi wamfahamu Gold Meddy?

NA FARHIYA HUSSEIN ALIVUMA sana kupitia ngoma yake ya DoriDori na kujulikana zaidi mpaka nchi jirani ya Tanzania iliyochangia pakubwa...

KASHESHE: Toto ajitetea

NA SINDA MATIKO MREMBO anayezidi kufanya vizuri Nikita Kering amefichua mustakabali wa mahusiano yake ikiwa ni siku chache tu baada ya...

USHAURI NASAHA: Thamini mazoezi ya kimwili hata sasa ufanyapo mtihani

NA HENRY MOKUA KILA shule inapojitahidi kuimarisha matokeo ya wanafunzi wayo masomoni hasa wakati huu wa mitihani ya kitaifa, nyingi...

NDIVYO SIVYO: Tofauti ya maneno angalau na aghalabu

NA ENOCK NYARIKI MARA nyingi, watu hujikuta wakilitumia neno ‘angalau’ katika muktadha wa ‘ingawa’ au ‘aghalabu’. Maumbo...

NGUVU ZA HOJA: Tuhifadhi kiteknolojia utajiri wa fasihi yetu ili tufae vizazi vijavyo

NA PROF CLARA MOMANYI FASIHI ni njia moja ya kuendeleza utamaduni wa jamii ambao pia ni ujumla wa maisha ya jamii hiyo. Kupitia kwa...

NGUVU ZA HOJA: Tuwafanye raia wa kigeni nchini kuwa mabalozi wema wa lugha ya Kiswahili

NA PROF IRIBE MWANGI JUMA lililopita Chuo Kikuu cha Nairobi kiliadhimisha Siku ya Wanafunzi wa Kigeni. Chuo kina wanafunzi wa kigeni...