• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 7:50 AM

NGUVU ZA HOJA: Tuhifadhi kiteknolojia utajiri wa fasihi yetu ili tufae vizazi vijavyo

NA PROF CLARA MOMANYI FASIHI ni njia moja ya kuendeleza utamaduni wa jamii ambao pia ni ujumla wa maisha ya jamii hiyo. Kupitia kwa...

NGUVU ZA HOJA: Tuwafanye raia wa kigeni nchini kuwa mabalozi wema wa lugha ya Kiswahili

NA PROF IRIBE MWANGI JUMA lililopita Chuo Kikuu cha Nairobi kiliadhimisha Siku ya Wanafunzi wa Kigeni. Chuo kina wanafunzi wa kigeni...

UFUGAJI: Ufugaji wa ndege aina ainati unavyompa kipato

NA PETER CHANGTOEK AMEKUWA akiwafuga ndege aina mbalimbali kwa muda wa miaka mitano. Vincent Muli, 30, anasema kuwa, ufugaji huo...

ZARAA: Mwalimu anayejituma ili kufufua kilimo cha kahawa

NA SAMMY WAWERU MATHIRA ni mojawapo ya maeneo yanayochangia uzalishaji wa kahawa nchini. Likiwa ndani ya Kaunti ya Nyeri, wengi wa...

SHINA LA UHAI: Hofu magonjwa ya mdomo yakiongezeka nchini

NA WANGU KANURI JE, unapiga mswaki mara ngapi kwa siku? Ikiwa wewe ni miongoni mwa maelfu ya Wakenya wanaosafisha mdomo mara moja kwa...

MWALIMU WA WIKI: Ni mwalimu afunzaye kwa kutumia nyimbo

NA CHRIS ADUNGO MATUMIZI ya nyimbo darasani hufanya wanafunzi kuelewa mambo haraka, huwaamshia hamu ya kujifunza dhana mpya na huwafanya...

PAUKWA: Makopo adhihirisha ‘ukupigao hukufunza’

NA ENOCK NYARIKI AKILI za Katiti zilisuka kwa haraka jibu ambalo angempa baba yake na ambalo lingemfanya kumeza joto alilokuwa nalo...

TALANTA: Dogo mkali wa tenisi

NA PATRICK KILAVUKA AMEZAMIA katika kukuza kipaji cha tenisi kwa kuiga mchezaji mahiri Angela Okutuyi ambaye amekuwa mwiba katika ulingo...

DARUBINI YA WIKI: Toleo Nambari 14 | Desemba 4, 2022

Maovu ya riadha za Kenya MHARIRI: Namwamba aache kumbukumbu kwa kusafisha riadha nchini Kenya Kumbe aliyehusika na mavazi ya...

DOMO: Aisee ukiwa mzembe, nyeti ndio zitaumia!

NA MWANAMIPASHO NDUGU zanguni leo nilikuwa niendelee na tulikoachia wiki iliyopita, ila bwana kuna haya mapya. Hivi mnazo hizo habari...

KIPWANI: Katoi wa Tabaka alivyosalia na ‘baby face’

NA SINDA MATIKO WAPO watu waliojaliwa neema ya kusalia na nyuso za kitoto hata umri uwasonge vipi. Mmoja wao ni Katoi wa Tabaka. Mara...

NGUVU ZA HOJA: Ufala aliouzungumzia Rais Ruto unaweza kupimwa kwa ratili?

NA PROF IRIBE MWANGI SIKU ya Jumatano nilikuwa ninaongea na kakangu mmoja kwa njia ya simu. Baada ya mazungumzo kuhusu mambo ya...