• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 7:47 PM

DARUBINI YA WIKI, Toleo Nambari 10, Novemba 06, 2022

Fundi wa uchumi wa Ruto KAULI YA MHARIRI: Katika minyororo ya IMF: Nidhamu ya hali ya juu itahitajika kuokoa uchumi KENYA:...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Tunamshukuru Allah kwa kututeremshia mvua

Na ALI HASSAN KWA jina la Mwenyezi Mungu mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Swala na salamu zimwendee Mtume wetu...

RIWAYA: Kielelezo cha swali la dondoo na namna ya kulijibu mtihanini

JUMA hili tutarejelea swali la dondoo. Dondoo hurejelea msemaji wa maneno fulani, msemewa, mahali walipo na msemewa na chanzo cha kauli...

GWIJI WA WIKI: Kelsy Kerubo

Na CHRIS ADUNGO KELSY Kerubo ni miongoni mwa wasanii wa humu nchini wanaoinukia vyema katika tasnia ya muziki. Upekee wake ulingoni...

Uvumbuzi: Trekta inayotumika kwenye mashamba madogo

NA SAMMY WAWERU TEKNOLOJIA na mifumo ya kisasa kuendeleza kilimo ni miongoni mwa mbinu zinazotajwa kuchangia pakubwa ongezeko la...

MAPISHI KIKWETU: Wali wa kukaangwa na kuku

NA MARGARET MAINA [email protected] WALI wa kukaangwa na kuku ni mlo unaopendwa sana China na bara Asia kwa ujumla. Mlo huu...

Chukua tahadhari dhidi ya vyakula hivi ikiwa una tatizo la mawe kwenye kibofu

NA MARGARET MAINA [email protected] SASA kwa kuwa tunajua ni vyakula gani tunapaswa kujumuisha katika lishe yetu kwa kibofu...

Tiba za nyumbani kwa maumivu ya kisigino

NA MARGARET MAINA [email protected] MAUMIVU ya kisigino ni tatizo la kawaida linaloathiri mguu. Kitu chochote kinachosababisha...

Chakula muhimu kwa mtu mwenye tatizo la mawe kwenye kibofu

NA MARGARET MAINA [email protected] KIBOFU ni kiungo kilicho upande wa kulia wa fumbatio na kiko chini ya ini. Huhifadhi juisi...

Faida za kiafya za kuruka kamba

NA MARGARET MAINA [email protected] JE, huwezi kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi? Kweli, inaweza kuonekana kuwa ngumu kudhibiti...

MWALIMU WA WIKI: Mwinyi ‘Masharubu’ ni mwalimu tosha!

Na CHRIS ADUNGO MWALIMU hafai kuwa kiini cha wanafunzi wake kukata tamaa katika safari ya masomo. Anastahili kujikusuru kufunza hadi...

PAUKWA: Ajabu ya Tundu ‘mfu’ kuwatokea wanakijiji

NA ENOCK NYARIKI MOYO wa Bwana Farijala uling’oka alipoona upindo wa nguo ya mwanawe kwenye mshumbi uliokuwa umetengenezwa na ndovu...