• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 7:47 PM

WALIOBOBEA: ‘Sirkal’ alipokataa wadhifa serikalini

KWA HISANI YA KENYA YEARBOOK NCHINI Kenya, nyadhifa za uwaziri haziwezi kuchukuliwa kama zinazotoshana- au kuwa sawa. Kila moja ina...

Jumuiya ya kaunti za Pwani: Raia wanataka kuona vitendo, huduma

NA PHILIP MUYANGA MATAMSHI ya magavana wa kaunti sita za ukanda wa Pwani ya kuweka kando tofauti zao za kisiasa ili kuangazia maendeleo...

MIKIMBIO YA SIASA: Kwa mkakati huu, Sakaja yuko vizuri!

NA CHARLES WASONGA UAMUZI wa Gavana wa Nairobi Johson Sakaja kuteua wafuasi wa Azimio la Umoja-One Kenya katika baraza lake la mawaziri...

JUNGU KUU: Hofu ya Ruto ‘kutekwa’ na mawaziri rafiki zake

NA WANDERI KAMAU RAIS William Ruto anakabiliwa na kibarua kigumu kutimiza ahadi alizotoa kwa Wakenya, baada ya baraza lake la mawaziri...

JAMVI LA SIASA: Ruto angemtumia Kalonzo kuatika mbegu ya udikteta

NA CHARLES WASONGA JUHUDI za Rais William Ruto za kutaka kumvutia kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka katika serikali yake ya Kenya Kwanza...

MALEZI KIDIJITALI: Chagulia mtoto wako teknolojia inayomfaa

NI kweli kuwa teknolojia imenyima wazazi muda wa kuwa na watoto wao nao watoto wamegeukia dijitali kujaza pengo lililoachwa na wazazi wao...

BAHARI YA MAPENZI: Nafasi ya wazazi katika ndoa ya wanao

SIZARINA HAMISI Na BENSON MATHEKA NI ukweli usiopingika kwamba wazazi wana nafasi na mchango katika maisha ya watoto wao hasa kwenye...

PENZI LA KIJANJA: Kuwa mjanja, sishindane na mtu wako!

NA BENSON MATHEKA “KUDUMISHA penzi kunahitaji ujanja kila siku, usihisi tu umetosheka kwa kuwa unapata kila kitu. Na ujanja huo...

DARUBINI YA WIKI, Toleo Nambari 09, Oktoba 30, 2022

Mizizi ya Rishi Kenya KAULI YA MHARIRI: Lazima tuwasaidie kina Obama na Rishi kati yetu kufaulu katika siasa KURUNZI YA AFRIKA:...

KIKOLEZO: Domokaya Kanye ajichomea

NA SINDA MATIKO UNAJUA ulimi ni kiungo kidogo sana ila kina nguvu zaidi ya zile nywele za Samsoni wa Biblia. Unafikiri Vita Vikuu vya...

NDIVYO SIVYO: Matumizi uchwara ya kihusishi ‘miongoni mwa’

NA ENOCK NYARIKI MIONGONI mwa maneno ambayo hukosewa katika mawasiliano ni ‘miongoni mwa’. Baadhi ya watu wana mazoea ya kuyatumia...

GWIJI WA WIKI: Ali Attas

NA CHRIS ADUNGO ALI Attas ni mwandishi mtajika ambaye alikulia jijini Mombasa. “Mombasa ni kitovu cha maisha yangu. Imenilea kimwili...