• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 6:50 AM

WALIOBOBEA: Noah Wekesa ni daktari aliyejaribu siasa akavuna

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK NOAH Mahalang’ang’a Wekesa alikutana na Mwai Kibaki katika Chuo Kikuu cha Makerere. Katika chuo hicho,...

DOMO: Vera, makalio si kitu kipya!

NA MWANAMIPASHO KWA kweli mambo ni mengi masaa ndio machache. Kuna msela mmoja pale Twitter anajiita Billy The Goat. Ana ufuasi...

KASHESHE: Vannyboy arusha jiwe

NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI Rayvanny karusha jiwe gizani kwa kudai kwamba toka ameondoka WCB Wasafi, sanaa yake imekua hata...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Sheikh Muhammad Swalihu alikuwa ni mfano bora wa kuigwa

NA ALI HASSAN KWA jina lake Allah (SWT), mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Tumejaaliwa leo hii, siku hii...

GWIJI WA WIKI: Carolyne Wekesa

NA CHRIS ADUNGO CAROLYNE Namulunda Wekesa alilelewa katika kijiji cha Matisi-Liavo, eneo la Kitale, Kaunti ya Trans-Nzoia. Ndiye wa tatu...

KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Heko Mama Samia, Dkt Ruto na Mzee Museveni kuimarisha uhusiano wa Afrika Mashariki

NA WALLAH BIN WALLAH NCHI tatu za Afrika Mashariki: Kenya, Uganda na Tanzania ni ishara ya mafiga matatu ya kuinjikia chungu...

NGUVU ZA HOJA: Kinaya cha Kiswahili kuenziwa mno ughaibuni kuliko nyumbani!

NA PROF IRIBE MWANGI KATIKA diwani yake Kina cha Maisha, Said Ahmed ameandika shairi “Hatuzwi Mcheza Kwao.” Anwani hii ni kinyume...

ZARAA: Jinsi miwa inavyotumika kuunda bidhaa tofauti

NA SAMMY WAWERU MWAKA wa 2017 Kenya ilipiga marufuku matumizi ya mifuko ya karatasi za plastiki. Miaka mitano baadaye, amri hiyo...

MITAMBO: Kifaa cha kukausha mazao kuwafaidi wakulima wadogo

NA RICHARD MAOSI  WAKULIMA wengi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za kuhifadhi mazao yao mara tu baada ya kuyavuna, jambo ambalo...

MUME KIGONGO: Kunywa kahawa kunasaidia wanaume wenye kansa ya tezi dume

NA CECIL ODONGO KUNYWA kahawa kwa wingi kunasaidia wanaume ambao wanaugua kansa ya tezi dume (prostate cancer) kuishi muda mrefu,...

SHINA LA UHAI: Teknolojia ya ‘3D printing’ yaleta afueni kwa upasuaji

NA PAULINE ONGAJI MIAKA saba iliyopita Bw Christopher Muraguri alivumbua teknolojia ya kusaidia madaktari wa upasuaji kutekeleza kazi...

MWALIMU WA WIKI: Vienna si bora tu, ni mwalimu bora

NA CHRIS ADUNGO UKIITIKIA wito wa kuwa mwalimu, fahamu kwamba taifa lote la kesho linakutegemea. Jamii nzima huwa imekuamini na mtoto...