• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 9:50 AM

MAPISHI KIKWETU: Biriani ya Uyoga

NA PAULINE ONGAJI Viungo Uyoga kilo – 1 Mchele wa basmati, kilo – 1 Masala, vijiko via chai – 4 Kitunguu saumu...

MALEZI KIDIJITALI: Kuepushia mtoto wako kutekwa na ponografia

UKITAKA mtoto wako asitekwe na kupotoshwa na ponografia kwenye mtandao ni lazima uwe na ujasiri wa kumweleza wazi hatari za picha na video...

BAHARI YA MAPENZI: Uhusiano ukidorora, hisia nazo huyoyoma

SIZARINA HAMISI Na BENSON MATHEKA IWAPO umeishi na mwanamke ama mwanaume kwa muda mrefu, bila shaka unaelewa ile hali ya kupoteza mvuto...

PENZI LA KIJANJA: Usiwekeze hisia bila uhakika wa nia ya mpenzio

NA BENSON MATHEKA “SONGA mbele na maisha yako. Warembo hawajazaliwa bado, huyo hakuwa wako.” Huu ulikuwa ushauri wa George kwa...

DARUBINI YA WIKI: TOLEO NAMBARI 6, Oktoba 09, 2022

Kashfa iliyoponza Telkom MHARIRI: Mzaha kuhusu uvamizi kando, tulinde uhusiano kwa kutii sheria za kimataifa Kurunzi ya Kenya:...

VYAMA: Chama cha Uanahabari katika shule ya upili ya Mbirikene, Meru

NA CHRIS ADUNGO CHAMA cha Uanahabari katika shule ya upili ya Mbirikene iliyoko Imenti Kaskazini, Kaunti ya Meru, kinashughulikia...

NDIVYO SIVYO: Matumizi yaliyozoeleka ya kauli ‘kwa mpigo’ ni potoshi

NA ENOCK NYARIKI KATIKA mazungumzo, kauli ‘kwa mpigo’ hutumiwa kwa maana ya ushindi mkuu au ushindi usiotarajiwa. Hivi ndivyo...

NGUVU ZA HOJA: Mabunge ya Kenya yatuzwa na chama cha CHAUKIDU kwa kustahi Kiswahili

NA PROF IRIBE MWANGI ALHAMISI iliyopita niliandika kuhusu Kongamano la Kiswahili lililoandaliwa na Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili...

UJASIRIAMALI: Karani anayekuza mboga za kienyeji

NA SAMMY WAWERU AKIWA na umri wa miaka 28, Ceciliah Wangui anaridhia shughuli ya kilimo anayoendeleza kinyume na mtazamo wa vijana wa...

UFUGAJI: Bidii yake inavyomvunia utamu wa asali Makueni

NA LABAAN SHABAAN ZIARA aliyoifanya kwa binamu yake akiwa likizoni mnamo 2017, ilimpatia fursa ya kupata mizinga mitatu ya kiasili na...

Mbona mwasho mkali kwenye chuchu zangu?

Mpendwa Daktari, Chuchu zangu zinawasha na ninalazimika kuzikuna kila wakati. Nitafanyaje kukabiliana na tatizo hili? Maureen,...

Wanaume wamo hatarini zaidi kuugua figo – Wataalamu

NA CECIL ODONGO WANAUME ndio wapo katika hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa figo, wataalamu wamebaini. Utafati uliofanywa na wataalamu...