• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 8:55 PM

MIKIMBIO YA SIASA: Kamket aliichakaza Kanu bondeni kwa kuunga Ruto

NA CHARLES WASONGA HATUA ya Mbunge wa Tiaty William Kamket kujiunga na muungano wa Kenya Kwanza (KKA) imetajwa kama mwanzo wa mwisho wa...

BAHARI YA MAPENZI: Je, inafaa kutegemea watoto uzeeni?

SIZARINA HAMISI Na BENSON MATHEKA WANASEMA ujana ni maji ya moto na fainali ni uzeeni. Mzunguko wa maisha huwa na awamu na ile ya...

UJAUZITO NA UZAZI: Mzio wa chakula kwa mtoto mchanga

NA PAULINE ONGAJI MZIO wa chakula hasa kwa watoto ni tatizo la kawaida ambalo hukumba angalau kila mmoja wakati mmoja...

MAPISHI KIKWETU: Nyama ya mbuzi na viazi vilivyopondwa

NA PAULINE ONGAJI Viungo unavyohitaji Viazi vilivyomenywa bakuli – 1 Nyama ya mbuzi kilo -1 Tui la nazi kikombe -1 ...

MALEZI KIDIJITALI: Kumkinga na hatari ibuka za mtandao

NA BENSON MATHEKA USISUBIRI hadi mtoto wako atumbukie kwenye hatari mtandaoni ndipo umfunze jinsi ya kujikinga. Wazazi wanaofanya...

SHANGAZI SIZARINA: Nina wasiwasi kumhusu binti yangu, amepoteza uchamgamfu wake, kunani?

MIMI ni mama wa msichana wa umri wa miaka 11 ambaye anasoma shule ya msingi ya bweni. Wakati msichana wangu alirudi likizo niligundua...

HUKU USWAHILINI: Leo nakupasha ya Andunje, mfupi wa kimo ila kwa makeke ni noma!

NA SIZARINA HAMISI KAWAIDA wanawake wengi huwa na matarajio na mtazamo wa mwanamume ambaye anafaa kuwa kwenye uhusiano. Nao wengi...

NGUVU ZA HOJA: Hili swali ni gumu na vilevile rahisi, Je hii lugha ya Kiswahili inalipa?

NA PROF IRIBE MWANGI MWANAFUNZI wangu wa uzamivu katika chuo Kikuu cha Nairobi kwa jina Nicholus Makanji aliniuliza swali. Swali...

VYAMA: Chama cha Kiswahili katika shule ya msingi ya Garissa Progressive Academy

NA CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika shule ya msingi ya Garissa Progressive Academy (CHAKIGAPA) kiliasisiwa Januari 20, 2009 kwa...

GWIJI WA WIKI: Moji Shortbabaa

Na CHRIS ADUNGO JAMES Muhia almaarufu Moji Shortbabaa alianza safari ya elimu akitazamia kutia nanga katika madarasa ya kusomea taaluma...

SHINA LA UHAI: Maziwa unayotumia huenda yadhuru afya yako

LEONARD ONYANGO Na KNA MAZIWA ambayo wewe hutumia huenda yanahatarisha afya yako kimyakimya. Ripoti ya utafiti uliofanywa katika...

BORESHA AFYA: Kwa nini ule nyama?

NA PAULINE ONGAJI KATIKA enzi hizi ambapo ni kawaida kwa mtu kuiga tabia za mwenzake kwa minajili ya umaarufu, si ajabu kukumbana na...