• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 8:55 PM

GWIJI WA WIKI: Ryan Mwenda

NA CHRIS ADUNGO MATAMANIO ya Ryan Mwenda, 14, ni kutikisa ulingo wa filamu kimataifa kiasi cha kufikia kiwango cha staa wa Amerika,...

VYAMA: Chama cha Kiswahili katika shule ya msingi ya Kinderworld Academy

NA CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika shule ya msingi ya Kinderworld Academy iliyoko South C jijini Nairobi, hushughulikia mahitaji...

NGUVU ZA HOJA: Serikali ichukue hatua kuupa urasmi wa Kiswahili maana

NA PROF JOHN KOBIA KATIBA ya Kenya ya 2010 katika ibara ya 7 sehemu ya 3 inaweka wazi kuwa lugha rasmi za Jamhuri ya Kenya ni Kiswahili na...

MITAMBO: Hii ‘honey press’ itakukamulia asali unavyotaka

NA RICHARD MAOSI ZOEZI la kukamua asali kutoka kwenye masega yaani honey combs huchukua sehemu muhimu katika shughuli nzima ya kilimo...

UJASIRIAMALI: Kilimo Msitu kinavyohifadhi mazingira na kuwaletea riziki

NA LABAAN SHABAAN JULIUS Waweru, mtaalamu wa kilimo, ni mkulima wa miche ya miti eneo la Kenol, Kaunti ya Murang’a na huuza miche 20,...

ZARAA: Ukuzaji wa matunda wazima ‘ushawishi’ wa zao la mahindi

NA JOHN NJOROGE BAADA ya kutembea hatua chache kutoka kwa barabara kuu ya Molo kwenda Njoro karibu na mji wa Elburgon katika Kaunti ya...

MWALIMU WA WIKI: Mwalimu mbobevu na mtunzi chipukizi

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU ana nafasi kubwa katika kuchochea hamu ya wanafunzi wake kupenda masomo na kufaulu katika safari nzima ya...

WALIOBOBEA: Akaranga alivyobadilisha sekta ya umma nchini

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK MOSES Akaranga, mtaalamu wa Benki aliyebadilika kuwa kasisi, anakumbukwa kwa kuanzisha kandarasi za kazi...

SOKOMOKO WIKI HII: Cherera alivyopiga chenga Wakenya kwa ‘mahesabu ya ajabu’

NA CHARLES WASONGA WIKI hii Naibu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Juliana Cherera aliwapa Wakenya zoezi gumu la...

USHAURI NASAHA: Endeleza jitihada za kujikuza, japo kwa akali ndogo

NA HENRY MOKUA NI kawaida mwanafunzi kutamani kufanikiwa sawa na wanataaluma mbalimbali anaowaona katika ujirani wake. Ni kawaida pia...

NDIVYO SIVYO: Kauli ‘uchumi umepanda’ haina mashiko na si sahihi

NA ENOCK NYARIKI KAULI ‘uchumi umepanda’ aghalabu hutumiwa na baadhi ya watu kwa maana finyu ya kupanda kwa bei za bidhaa hivyo basi...

Muffins za karoti na zisizo na mayai

NA MARGARET MAINA [email protected] MUFFINS za karoti zisizo na mayai ni rahisi kutengeneza. Kwa kawaida huwa ni laini na...