• Nairobi
  • Last Updated May 16th, 2024 8:50 PM

Vidokezo muhimu kupunguza uharibifu wa chakula

NA NARGARET MAINA [email protected] UHARIBIFU wa chakula ni suala kuu katika jamii ya kisasa. Uharibifu huu unaharibu au...

KIKOLEZO: Nabii aliyekataliwa kwao!

NA SINDA MATIKO MWEZI Agosti nilikuwa jijini Kisumu kwa shughuli ya uzinduzi wa jukwaa la utumbuizaji la Dunga Hill Camp lililofadhiliwa...

DOMO: Mhesh asalimu amri ya KOT!

NA MWANAMIPASHO NAFIKIRI nishawahi kusema hapa na narudia tena, vitu vitatu ninavyoviogopa mimi; ni Mungu, uji moto na sasa...

Jinsi unavyoweza kupunguza uzito na kuboresha afya

NA MARGARET MAINA [email protected] Jaza nyuzinyuzi NYUZINYUZI hupatikana katika vyakula vyenye afya ikiwa ni pamoja na mboga,...

NGUVU ZA HOJA: Chuo Kikuu cha Baraton ni mfano wa kuigwa na asasi za elimu ya juu

NA PROF CLARA MOMANYI KATIKA makala yangu ya tarehe 1/9/2022 niliweka bayana umuhimu wa Tume ya Mackay katika kusimika matumizi ya...

UJASIRIAMALI: Sanaa ya kuchonga glasi inavyowajenga

NA MARGARET MAINA AKIWA kijana, David Karitha alikuwa akimtazama mjomba wake akitengeneza vitu vya asili vya kupendeza kutoka kwa...

MITAMBO: Kifaa cha kunasa wadudu waharibifu wa matunda mitini

NA RICHARD MAOSI WANASAYANSI wamekuwa wakijikuna vichwa, wengi wao wakitaka hatua ya dharura kuchukuliwa ili kukabiliana na wadudu...

ZARAA: Nafaka mpya zatoa jibu la kudorora kwa mazao

NA SAMMY WAWERU HUKU Muungano wa Umoja wa Kimataifa (UN) ukijiandaa kufanya kongamano la COP27 makala ya 27 kuhusu tabianchi mwaka huu,...

BIASHARA: Gharama ya juu yazima raha ya kilimo cha maua

NA SAMMY WAWERU KENYA imejiunga na orodha ya nchi ambazo husafirisha maua ng’ambo kupitia meli za mizigo. Hatua hiyo inayofasiriwa...

DARUBINI YA WIKI: TOLEO 2

ILI kusoma makala na habari zilizochambuliwa kwa kina katika Darubini ya Wiki, bofya kwa kiungo...

TALANTA: Wanasarakasi ibuka

NA RICHARD MAOSI MCHEZO wa sarakasi na kwata ya watoto unatambulika tangu zamani kutokana na ufaafu wake katika kuupa mwili nguvu kwani...

KIGODA CHA PWANI: Ni nani atakuwa macho na masikio ya Rais Ruto Pwani?

NA PHILIP MUYANGA HUKU rais mteule Dkt William Ruto akisubiri kutwaa mamlaka rasmi siku ya Jumanne atakapoapishwa,inasubiriwa kuonekana...