• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

UJASIRIAMALI: Alikuwa mchuuzi tu, sasa aagiza mitumba kutoka ng’ambo na kuuza

NA PETER CHANGTOEK STACY Auma alikuwa akifanya kazi ya kuchuuza nguo katika maeneo tofauti tofauti nchini, kabla ya kufanikiwa na kuanza...

ZARAA: Ahimiza ukuzaji matunda asilia yanayoboresha afya

NA SAMMY WAWERU MTAJIE aina yoyote ile ya matunda asilia, atakupa majina ya Kisayansi na yale ya lakabu. Stephen Mwanzia amekuwa...

UFUGAJI: Jinsi anavyojipatia riziki kwa kuwafuga sungura

NA PETER CHANGTOEK ALEE Kagwa alianza kuwafuga sungura miaka mitano iliyopita kama uraibu tu. Hata hivyo, baada ya mtu mmoja...

KWA KIFUPI: Chumvi nyingi kwenye chakula hatari kwa afya yako

NA WANGU KANURI IKIWA una mazoea ya kuongezea chumvi kwenye chakula mezani, basi unahatarisha maisha yako. Wataalamu wanaonya kuwa...

MUME KIGONGO: Kuendesha baiskeli kunaweza kuathiri nguvu za kiume – Utafiti

NA LEONARD ONYANGO KUENDESHA baiskeli ni moja ya mazoezi yanayopigiwa upatu katika kuboresha afya. Baadhi ya wataalamu wanasema kuwa...

JIJUE DADA: Uwezo wa kubeba mimba huanza kupungua kuanzia umri wa miaka 30

NA PAULINE ONGAJI KATIKA enzi hizi ambapo wanawake wameelimika na kutaalumika, ni kawaida kushuhudia wengi wao wakiamua kupata watoto...

SHINA LA UHAI: Tiba ya ‘ketnyo’ yanusuru wengi Pokot Magharibi

OSCAR KAKAI Na LEONARD ONYANGO TIBA ya ‘ketnyo’ – neno la jamii ya Wapokot linalomaanisha ‘miti yetu’ – imenusuru wengi...

TALANTA: Taka ni tunu kwake

NA PATRICK KILAVUKA ALITAMBUA kuna umuhimu wa kutumia maarifa na uwezo wake kutunza mazingira kwa kutumia vitu ambavyo hutupwa kama...

UFUGAJI: Wafugaji wahimizwa kukumbatia teknolojia za kisasa kukuza malisho

NA SAMMY WAWERU HALI si hali tena katika sekta ya ufugaji nchini, kufuatia kuendelea kuongezeka kwa bei ya chakula cha mifugo. Mfumko...

MAPISHI KIKWETU: Jinsi ya kuandaa supu ya asparagus

NA MARGARET MAINA [email protected] ASPARAGUS ni chakula chenye virutubisho ingawa hakiwezi kukusaidia kukidhi njaa kwa muda...

LISHE: Matunda ya pitahaya/ matunda ya joka

NA MARGARET MAINA [email protected] DRAGON fruit au pitahaya, ni tunda la kitropiki linalojulikana kwa ngozi yake nyekundu...

MAPISHI KIKWETU: Supu ya karoti na majani ya giligilani

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 10 Muda wa mapishi: Dakika 15 Walaji:...