• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 3:09 PM

VYAMA: CHAKIMO kilivyo mhimili thabiti katika ukuzaji Kiswahili chuoni Moi

NA CHRIS ADUNGO BAADA ya mataifa ya Afrika Mashariki kujinyakulia uhuru, baadhi ya vyuo vikuu na asasi nyinginezo za elimu zilitia shime...

SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: Tutambue mchango wa watangulizi wetu

NA ENOCK NYARIKI ULIMWENGU unaposherehekea siku ya Kiswahili, ni muhimu kuukumbuka mchango wa watu binafsi katika kuikuza na kuikarabati...

USHAURI NASAHA: Zipo taaluma tele za Kiswahili katika soko la ajira nchini

NA HENRY MOKUA TUNAPOFIKIA kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani leo Alhamisi, kuna haja ya kutambua kwamba hii ni...

Saba saba: Maadhimisho ya ‘Siku ya Kiswahili Duniani’ jijini Nairobi

NA PROF IRIBE MWANGI SIKU ya Jumatatu nilipotembelea stesheni moja ya runinga nchini nilikutana na mshairi chipukizi kwa jina Mohamed...

KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Tanzania yaadhimisha siku ya Kiswahili Duniani kwa namna ya kipekee Afrika Mashariki

NA WALLAH BIN WALLAH LEO Alhamisi ninapoyaandika makala haya nipo jijini Darisalama Tanzania kwa mwaliko rasmi niliotumiwa na Dkt...

SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: Maadhimisho ya hafla ya Kiswahili janibu mbalimbali ughaibuni

NA WANDERI KAMAU ULIMWENGU mzima unapoungana leo kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani, itakuwa hatua muhimu sana katika historia ya...

Sababu za UNESCO kuteua siku ya Kiswahili duniani

NA CHRIS ADUNGO KUTEULIWA kwa Julai 7 kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani ni uamuzi uliofanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa la...

Asasi ambazo zinachangia makuzi ya lugha

NA BITUGI MATUNDURA PENDEKEZO la kutangaza Julai 7 (leo) ya kila mwaka kuwa Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani na UNESCO, lilitokana na...

Taasisi zinazofundisha Kiswahili ulimwenguni

NA BITUGI MATUNDURA HAFLA ya kwanza ya maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani hivi leo – ilivyopendekezwa na UNESCO inatupa fursa ya...

Hatimaye Uganda yakweza Kiswahili kuwa lugha rasmi

NA WANDERI KAMAU HATUA ya Uganda kupitisha Kiswahili kuwa moja ya lugha zake rasmi siku ya Jumanne, ni mwisho wa safari ambayo ilianza...

Chimbuko na Asili ya lugha ya Kiswahili

NA CHRIS ADUNGO WATAALAMU wa lugha wanakadiria kuwa idadi ya wazungumzaji wa Kiswahili kote ulimwenguni imefikia zaidi ya watu milioni...

Julai 7: Siku ya Kiswahili Duniani

NA CHRIS ADUNGO KILELE cha kusherehekea Siku ya Kiswahili Duniani katika Chuo Kikuu cha Moi kitashuhudiwa leo Alhamisi mjini Eldoret,...