• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 3:09 PM

MITAMBO: Kifaa cha jab planter kupunguza gharama za shughuli za upanzi

NA RICHARD MAOSI KUNA changamoto nyingi zinazowakumba wakulima wa mahindi, wengi wao wakishindwa kubaini idadi kamili ya mbegu ambazo...

Wakuzaji maua ya Arabicum walia hasara ya ‘soft rot’

NA PETER CHANGTOEK WAKULIMA wanaokuza maua aina ya Arabicum, wanalilia usaidizi kwa sababu ya ugonjwa unaothiri mimea yao. Ugonjwa...

ZARAA: Uundaji bidhaa za avokado kusaidia kupanua soko lake

NA SAMMY WAWERU MAPARACHICHI ni kati ya matunda ambayo kwa sasa yana soko lenye ushindani mkuu, ikilinganishwa na miaka ya...

DKT FLO: Je, uzito kifuani huletwa na nini?

Nini kinachosababisha uzito kwenye kifua? Kris, Mombasa Mpendwa Kris, Hii ni mojawapo ya ishara kuu za mshtuko wa moyo na hivyo...

BORESHA AFYA: Mlo bora kwa afya ya akili

NA PAULINE ONGAJI CHAKULA unachokula kina umuhimu sio tu kwa mwili, bali pia kwa afya ya akili. Wataalamu wanasema kwamba kuna...

JIJUE DADA: Kukabili tatizo la upele na mwasho kwenye makalio

NA PAULINE ONGAJI KUNA baadhi ya watu na hasa wanawake ambao kila mara wanakumbwa na tatizo la upele kwenye makalio. Hasa shida hii...

MUME KIGONGO: Japo kitambi kina madhara tele kiafya, kina faida zake pia

NA LEONARD ONYANGO TOFAUTI na wanawake ambao huhifadhi mafuta ya ziada mwilini kwenye mapaja, kiuno na makalio, wanaume huyahifadhi...

SHINA LA UHAI: Selimundu huua watoto 10,000 nchini Kenya kila mwaka

WANGU KANURI NA LEONARD ONYANGO MICHAEL Onyonyi hakupata fursa ya kuwaona watangulizi wake wawili kwani waliaga dunia kabla yake...

PAUKWA: Bahati machozi tele kwa aibu ya mamaye

NA ENOCK NYARIKI MAMA yake Bahati alisimama kwenye uwanja wa shule huku amezubaa na kutunduwaa. Alitazama jinsi watoto wengine...

MWALIMU WA WIKI: Muthoni ana siri kubwa ya darasa

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU mtafiti huwa tajiri wa mbinu mbalimbali za ufundishaji na huelewa kwa mapana kiwango cha mahitaji ya kila...

TALANTA: Wanahabari chipukizi

NA ENOCK NYARIKI MTAZAMO wao mpevu kuhusu mambo ya msingi yanayojenga taaluma ya uanahabari ndio unaozipa talanta zao upekee na kuwavika...

Wasanii wa Kayole kuzindua filamu mpya mwezi huu wa Julai

NA JOHN KIMWERE WASANII wanaendelea kuungana ili kuzamia shughuli za kuzalisha filamu kwenye juhudi za kusaka mpenyo. "Mwaka 2020...