• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 5:50 AM

‘Kanuni za ushemeji’ anazofaa kuzingatia mwanamke anapoolewa

NA WANDERI KAMAU JE, ni kanuni zipi ambazo mwanamke aliyeolewa anafaa kuzingatia ili kuhakikisha ana uhusiano mzuri na mashemeji...

Maoni mseto kuhusu mbinu ya ukandaji kutumia taulo ya moto

NA FRIDAH OKACHI TIBA ya kukanda mwili imekuwepo kwa muda mrefu sana, asili yake ikihusishwa na mataifa kama vile India, China, Japan na...

Mhadhara wa umma kuandaliwa kumuenzi Prof Ken Walibora

NA WANDERI KAMAU WAKEREKETWA wa Kiswahili nchini wanapanga kuandaa mhadhara wa kwanza wa umma kumuenzi marehemu Prof Ken Walibora,...

Jamila Mohamed amuenzi ‘Beloved’ Kipenzi Rita Tinina

NA JAMILA MOHAMED KWA wengi waliomfahamu Rita, T9, RT, Yiapan, Maasai kama alivyotambulika na wenzake, maneno yanayoelezea kumhusu ni...

Tanzania yapiga hatua ndege zikitengenezewa nchini humo

THE CITIZEN Na WANDERI KAMAU TANZANIA imepiga hatua mpya katika sekta ya uchukuzi wa ndege, kufuatia kutengenezwa kwa ndege tatu mpya...

Putin ajigamba kwa ‘jeuri’ baada ya ushindi mkubwa Jumapili

NA WANDERI KAMAU RAIS wa Urusi Vladimir Putin ametetea uvamizi nchini Ukraine na kuikosoa jamii ya kimataifa kwa kuingilia mzozo...

Simulizi ya Gachagua alivyopoteza ndugu zake kupitia pombe

NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua Jumapili, Machi 17, 2024, alisimulia jinsi alivyopoteza ndugu zake kwa sababu ya...

Tutakusaidia kupata mke, Maribe amwambia Itumbi

ELIZABETH NGIGI na CHARLES WASONGA MWANAHABARI Jacque Maribe amevunja kimya chake kuhusu uvumi unaoenekezwa kuhusu uhusiano wake na...

Je, unajua maziwa ya ngamia ni kinga kwa magonjwa hatari?

NA WANDERI KAMAU KATIKA nyakati hizi ambapo watu wengi wamekuwa wakilalamikia ongezeko la magonjwa yasiyoeleweka, wataalamu wa afya...

Kukatizia mlevi pombe ghafla kunaweza sababisha kifo, Gachagua aambiwa 

NA MWANGI MUIRURI  BAADHI ya madaktari wameonya serikali dhidi ya kuachisha ghafla walevi pombe wakihoji kwamba huenda wengine wakaaga...

Joto kali Sudan Kusini lasukuma serikali kufunga shule

LABAAN SHABAAN na MASHIRIKA  SUDAN Kusini imefunga shule zote kuanzia Jumatatu, Machi 18, 2024 ili kulinda wanafunzi dhidi ya wimbi la...

Wa Muchomba aongoza kupinga ujenzi wa nyumba za bei nafuu eneo ‘takatifu’  

NA MWANGI MUIRURI BARAZA la Wazee wa Agikuyu pamoja na mbunge wa Githunguri, Bi Gathoni wa Muchomba wameungana kukataa Rais WilliamRuto...