• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

Wanawake wanavyojituma kuzimbua riziki kwenye matimbo hatari 

NA CHARLES ONGADI UCHUMI ukiendelea kupanda kila uchao, Wakenya wengi wamejipata wakilemewa kukithi familia zao mahitaji muhimu ya...

Kiwanda cha maziwa Murang’a kilichoangushwa na ufisadi kufufuliwa

NA MWANGI MUIRURI KIWANDA cha wakulima wa maziwa Murang’a kilichozinduliwa 2019 kwa kima cha Sh1. 5 bilioni japo kikasambaratika miaka...

Priscilla wa Imani: Upigaji mbinja ulivyomletea mafanikio maishani

NA WANDERI KAMAU JE, unafahamu kuwa upigaji mbinja pekee unaweza ukakuletea mafanikio? Naam, upigaji mbinja tu! Hiyo ndiyo simulizi...

Maafisa waliohudumu zaidi ya miaka 3 kwenye kituo Mlima Kenya waanza kuhama

NA MWANGI MUIRURI MAAFISA wa polisi ambao wamehudumu Mlima Kenya kwa zaidi ya miaka mitatu wameanza kuhamishwa kupitia amri ya Waziri wa...

‘Hakuna ruhusa sehemu ya ibada ukitoka kwa ngono’

NA FRIDAH OKACHI ITAKUWAJE, umefika sehemu ya kufanyia ibada lakini wasimamizi wanakurudisha nyumbani kwa sababu umeonana kimwili na...

Liverpool dhidi ya Man City, WanaArsenal wakiomba droo  

NA MWANGI MUIRURI  MASHABIKI wa Arsenal nchini wakiongozwa na Seneta maalum, Karen Nyamu wanasubiri kwa hamu na ghamu jinsi mgaragazano...

Chifu adai polisi wanahujumu vita dhidi ya pombe haramu

NA FRIDAH OKACHI MAAFISA wa serikali katika baadhi ya maeneo sasa wanahujumiana katika vita dhidi ya pombe haramu, imefichuka. Chifu wa...

ODM itasalia imara hata bila Raila – Oparanya

NA SHABAN MAKOKHA VIONGOZI wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) wamesema chama hicho bado kitabaki imara hata kama kinara wao...

Jimmy ‘Barbecue’ Cherizier: Polisi wa zamani anayeongoza magenge ya uhalifu nchini Haiti

WANDERI KAMAU Na MASHIRIKA JE, ni nini kiini cha makabiliano makali ambayo yamekuwa yakiendelea nchini Haiti baina ya vikosi vya...

Kilio sheria mpya kutokomeza ulevi zinaleta mianya ya hongo

NA MWANGI MUIRURI TANGU serikali itoe amri kwamba maafisa wakuu wa usalama, wale wa ukadiriaji ubora wa bidhaa, na walio katika huduma...

Pasta Ng’ang’a ‘atoa makucha’ EACC ikimwandama kuhusu ardhi ya Kanisa

NA WANDERI KAMAU MVUTANO baina ya Pasta James Ng’ang’a na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) unaendelea kutokota kuhusu...

Wanasayansi wapigia debe ulaji wa wadudu

NA HELLEN SHIKANDA HUKU idadi ya binadamu ikiendelea kuongezeka ulimwenguni na chakula kuwa haba, wanasayansi wamebaini kuwa kula wadudu...