• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 6:50 AM

Tambua ugonjwa wa ‘appendicitis’ unaonyemelea watu kimya kimya

NA WANGU KANURI KAREN Nyambura anakumbuka kuwa mnamo mwezi wa Septemba mwaka wa 2008, alianza kuhisi uchungu mwingi upande wa kulia chini...

Polisi anayetumia ucheshi kulainisha raia

NA WANDERI KAMAU NI nadra sana kupata polisi ambaye hutumia ucheshi anapotangamana na raia. Kwa kawaida, polisi wengi wanajulikana...

Gharama ya lojing’i yasukuma makahaba kuchafua mazingira

NA MWANGI MUIRURI  MFUMKO wa bei ya lojing’i Mjini Murang’a umelazimisha ‘wapenzi’ wa mahaba ya mkato kuzindua mbinu mpya...

Jezi za Kenya za michezo ya Olimpiki kuzinduliwa Aprili

NA TOTO AREGE JEZI za timu ya taifa ya Kenya za Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024, zinatarajiwa kuzinduliwa sokoni mwezi ujao, Aprili,...

CJ Koome alivyozima maandamano ya mawakili

NA MWANGI MUIRURI CHAMA cha Mawakili Kenya (LSK) kimefutilia mbali maandamano ambayo kilikuwa kimepanga kufanya leo, Jumatatu, Machi 3,...

Anavyojituma kuangazia kero ya mimba za mapema kwa matineja

NA PETER CHANGTOEK BAADA ya kufutwa kazi jijini Nairobi, Nancy Bulinda alirudi nyumbani - Kaunti ya Vihiga, ambapo aligundua changamoto...

Wakenya wamkumbuka ‘Mr Ibu’ kwa ucheshi wake

NA WANDERI KAMAU DUNIA inapoendelea kumwomboleza mwigizaji maaarufu kutoka Nigeria, John Okafor, maarufu kama ‘Mr Ibu’, Wakenya...

Shollei atwikwa hadhi ya juu katika jamii ya Agikuyu

NA MWANGI MUIRURI WAKATI mwanasiasa Gladys Jepkosgei Boss Shollei, mbunge mwakilishi wa Kaunti ya Uasin Gishu alipotwikwa hadhi ya...

Wakenya kusubiri kibwagizo cha hotuba za Ruto

NA MWANGI MUIRURI  TANGU nchi ijinyakulie uhuru, Wakenya wamezoea matamshi ya marais wao yenye uzito yanayobadilika kuwa kibwagizo cha...

Mwanamke aliyeombewa na mhubiri ‘tata’ ajipa tumaini

NA WANDERI KAMAU MWANAMKE aliyerekodiwa kwenye video ‘akipungwa pepo’ na mhubiri Danson Gichuhi almaarufu 'Yohana’ wiki moja...

Waithaka wa Jane: Mfalme wa ‘Mugithi’ asiyekunywa pombe

NA WANDERI KAMAU WAKATI mwanamuziki wa mtindo wa Mugithi, Salim Junior, alipofariki mnamo 2021, kifo chake bila shaka kilikuwa pigo kubwa...

Eneo la Tusitiri latajwa kuwa ngome ya mapepo katika Bahari Hindi

NA KALUME KAZUNGU TUSITIRI ni eneo maarufu ambalo wengi wanalifahamu Lamu. Liko kwenye Bahari Hindi, karibu na ufukwe wa Wiyoni...