• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 5:45 AM

Huyu Joy Kendi atakupa siri ya kuwa ‘influensa’

NA SINDA MATIKO JOY Kendi ni miongoni mwa mafashonista wanaotetemesga hapa nchini. Lakini pia ni mtalii wa ndani na nje ya nchi. Kutokana...

Gachagua aahidi kuendelea kurudisha sekta ya chai kwa laini

NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa wadau mbalimbali katika sekta ya majanichai kuondoa kesi walizowasilisha...

Sifa teule za maafisa ‘wamalizaji’

NA MWANGI MUIRURI HAKUNA polisi au afisa wa usalama aliyesajiliwa kikosini ili awe muuaji lakini katika hali ya kazi, baadhi yao huchukua...

Majangili Pokot Magharibi sasa wateka nyara watoto

NA OSCAR KAKAI MAJANGILI wanaendelea kutesa vijiji vilivyoko kaunti za Pokot Magharibi na Turkana, mara hii wakiwateka nyara...

Gachagua @59: Mbele iko sawa?

NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua mnamo Februari 28, 2024, aliadhimisha siku ya kuzaliwa ambapo alifikisha umri wa miaka...

Watalii wang’ang’ania mfupa wa nyangumi kupiga ‘selfie’

NA KALUME KAZUNGU KWA waja, mfupa, uwe ni wa wanyama wa kufugwa au wale wa mwituni, huwa ni kitu cha kawaida kuonekana. Katika mji wa...

Mama mkwe ameniibia mtoto wangu mchanga, msichana, 24, alia

Na FLORA KOECH MWANAMKE wa umri wa miaka 24 katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet analilia mwanawe ambaye anadaiwa kuchukuliwa na mama mkwe...

KAULI YA WALLAH: Harakati za kila mwanadamu ni kutafuta jinsi ya kuishi vizuri duniani

Na WALLAH BIN WALLAH TUSISAHAU na kujisahau kwamba shida ni nyingi kuliko furaha za dunia. Furaha ni chembechembe ndogo ukilinganisha na...

Dorcas Rigathi ampamba DP Gachagua kwa maneno matamu

NA FRIDAH OKACHI MKE wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Bi Dorcas Rigathi, amempamba mume wake kwa maneno matamu akiadhimisha siku yake ya...

Mkokoni: Mji wa mahasimu kujenga urafiki

NA KALUME KAZUNGU MKOKONI ni mmojawapo wa miji yenye sifa na historia pana Lamu. Ni mji unaopatikana Lamu Mashariki, karibu na mpaka...

Rais atumia ‘mkato’ kuwapa wakazi wa Maragua maji

NA MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Maragua Mary wa Maua amesema wenyeji na wakazi wa eneobunge lake wana furaha kuu kwa kuwa Rais William...

Polisi walia kupunjwa fedha zao za sacco

WANDERI KAMAU Na NYABOGA KIAGE POLISI waliostaafu na wengine wanaoendelea kuhudumu katika Idara ya Polisi, wamekilaumu Chama cha Ushirika...