• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 4:42 PM

Mike Rua: Mimi ndiye ‘Big Daddy’ wa Mugithi wengine wakijiita wafalme

NA MWANGI MUIRURI MTINDO wake wa kupiga gitaa ni wa kipekee na wasanii wengi huwa wamekubaliana kwamba Mike Rua ni mwalimu wa kuheshimiwa...

Kiti balozi kinachofundisha ubunifu, kupigana na taka za plastiki

NA KALUME KAZUNGU KAUNTI ya Lamu imekuwa ikigonga vichwa vya habari Kenya na ulimwengu mzima kupitia ubunifu mbalimbali. Miongoni mwa...

Sababu ya wengi katika sekta ya kilimo kuomba bei ya petroli izidi kupanda

NA MWANGI MUIRURI BEI hasi ya bidhaa za petroli imezua mwamko mpya wa ubunifu katika kilimo cha unyunyiziaji mimea maji ambapo wakulima...

DOMOKAYA: Hivi kweli haya mapenzi yana maana gani haswa? Binadamu hapendeki!

NA MWANAMIPASHO Duh! Hivi wanazengo hebu soogeni karibu niwaulize jambo. Hivi kweli haya mapenzi yana maana? Maana mimi binafsi sioni....

Manusura wa shambulio la Al-Shabaab aapa kuhubiri amani hadi kifo

NA KALUME KAZUNGU TUKIO la kigaidi la mwaka 2014 mjini Mpeketoni, Kaunti ya Lamu liliacha makovu mabaya kwenye maisha ya wengi eneo...

Jinsi tumbiri wanavyofanya uharibifu shambani, kuiba pombe

NA MWANGI MUIRURI IKIWA kuna mnyama ambaye amesumbua wakulima wa Murang’a kwa muda sasa, ni tumbiri. Tumbiri wamezidisha utukutu...

Huyu Joy Kendi atakupa siri ya kuwa ‘influensa’

NA SINDA MATIKO JOY Kendi ni miongoni mwa mafashonista wanaotetemesga hapa nchini. Lakini pia ni mtalii wa ndani na nje ya nchi. Kutokana...

Gachagua aahidi kuendelea kurudisha sekta ya chai kwa laini

NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa wadau mbalimbali katika sekta ya majanichai kuondoa kesi walizowasilisha...

Sifa teule za maafisa ‘wamalizaji’

NA MWANGI MUIRURI HAKUNA polisi au afisa wa usalama aliyesajiliwa kikosini ili awe muuaji lakini katika hali ya kazi, baadhi yao huchukua...

Majangili Pokot Magharibi sasa wateka nyara watoto

NA OSCAR KAKAI MAJANGILI wanaendelea kutesa vijiji vilivyoko kaunti za Pokot Magharibi na Turkana, mara hii wakiwateka nyara...

Gachagua @59: Mbele iko sawa?

NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua mnamo Februari 28, 2024, aliadhimisha siku ya kuzaliwa ambapo alifikisha umri wa miaka...

Watalii wang’ang’ania mfupa wa nyangumi kupiga ‘selfie’

NA KALUME KAZUNGU KWA waja, mfupa, uwe ni wa wanyama wa kufugwa au wale wa mwituni, huwa ni kitu cha kawaida kuonekana. Katika mji wa...