• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 4:54 PM

Upatanishaji wa Uhuru, Gachagua washika kasi

NA WANDERI KAMAU JUHUDI za kuwaunganisha tena Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Naibu Rais Rigathi Gachagua zimeshika kasi, hilo likitajwa...

Migogoro ya ardhi yapungua tangu kitabu kuanika makateli

NA KALUME KAZUNGU MIGOGORO kuhusu suala tata la ardhi katika Kaunti ya Lamu imepungua pakubwa tangu kuzinduliwa kwa kitabu maalumu...

Maiti za Shakahola: Mung’aro amtuma Jumwa kwa Kindiki

NA ALEX KALAMA GAVANA wa Kaunti ya Kilifi Gideon Mung'aro amemsihi Waziri wa Jinsia Aisha Jumwa kuzungumza na mwenzake wa Usalama wa...

Diamond Platnumz aelekea ‘Zenji’ kumuomba Zuchu msamaha

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI mmiliki wa lebo ya WCB Wasafi Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz, yuko njiani kuelekea visiwani...

Mahakama yaamua muratina si pombe haramu

NA MWANGI MUIRURI WATU wengi katika jamii ya Agikuyu sasa wanasherehekea uamuzi wa Mahakama Kuu kwamba pombe aina ya Muratina si haramu...

Zuchu sasa amtema Diamond, aahidi kumakinikia kazi WCB

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Zuhura Othman almaarufu Zuchu ametangaza rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake mpenzi wake Diamond...

Kisanga mwanamume akiachiwa mtoto mchanga wa siku nne na mpenziwe

NA FRIDAH OKACHI MALEZI kutoka kwa vijana wa Gen Z yamechangamsha hisia katika mtandao wa TikTok baada Davis Andanje kupakia video...

Jeneza la kilo 65, sawa na uzito wa Kiptum alipokuwa hai

LABAAN SHABAAN, SAMMY WAWERU NA FRIDAH OKACHI NYOTA wa marathon Kelvin Kiptum alipumzishwa akilazwa ndani ya jeneza la kahawia....

Mwanajeshi Mwingereza ajitetea akisema alipigwa Kiswahili akajikuta ameoa mke wa pili bila kukusudia

WANDERI KAMAU NA MASHIRIKA HARUSI ya Kiislamu iliyofanyika miaka miwili iliyopita, imeanza kumsumbua mwanajeshi kutoka Uingereza...

Mfahamu Benny Hinn, mwinjilisti anayeongoza maombi nchini Jumamosi na Jumapili

NA WANDERI KAMAU LICHA ya umaarufu wake mkubwa kote duniani, mwinjilisti Benny Hinn kutoka Amerika ana baadhi ya sifa ambazo zimezua utata...

Kupitishwa kwa ripoti ya Nadco kwatoa nafasi ya marekebisho ya Katiba

NA CHARLES WASONGA MCHAKATO wa marekebisho ya Katiba kwa lengo la kubadili mfumo wa uongozi wa Kenya kupitia kubuniwa kwa afisi ya...

Fahamu sababu za upole wa punda wa Lamu

NA KALUME KAZUNGU KAUNTI ya Lamu inavuma kwa kuwa na idadi kubwa ya mnyama punda. Punda ndio ambao tangu jadi wamekuwa wakitumika kwa...