• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 6:50 AM

Masharti magumu ya wavuvi kushusha nyavu baharini

NA KALUME KAZUNGU UKIWA mvuvi halisi kwenye baadhi ya maeneo ya mwambao wa Pwani, hasa Lamu, itakujuzu kuzingatia kikamilifu baadhi ya...

Sababu za baadhi ya watu kuogopa giza

NA WANGU KANURI MTU mzima mmoja kati ya wanne bado hulala taa zikiwa wazi huku wengine wakikimbia kunapokuwa na giza, utafiti...

Wito Serikali iwezeshe wakulima wadogo kutumia sola kwa uzalishaji

NA CHARLES WASONGA SERIKALI imetakiwa kuwawezesha wakulima wadogowadogo kutumia kawi endelevu yenye gharama nafuu ili kuwapunguzia...

Director Trevor, Mungai Eve waendelea kuwapa mashabiki sinema ya bure

NA FRIDAH OKACHI UTATA unaozingira akaunti ya YouTube ya Director Trevor na mwigizaji Mungai Eve umefanya wengi kutafakari na kutoa...

Mwanamume aomba asaidiwe kufa sababu ya mahangaiko ya kuugua selimundu

Na HELLEN SHIKANDA MWANAMUME anayeugua maradhi ya selimundu sasa amehiari kufa ili apate utulivu kutokana na uchungu anaopitia baada ya...

Mutua, Itumbi watiana makucha kuhusu malipo ya wanamuziki

NA FRIDAH OKACHI VITA vya usimamizi wa umiliki wa muziki nchini vinazidi kuongezeka. Hivi punde, msimamizi wa mikakati ya kidijitali...

Finya Kompyuta Upate Dola: Mambo ya kuelewa kuhusu mpango huu mpya wa serikali

NA WANDERI KAMAU HATUA ya serikali kuzindua mpango wa ‘Finya Kompyuta Upate Dola’ umezua maswali kuhusu ikiwa utafaulu, ikizingatiwa...

Mhubiri anayelisha waumini wake chakula cha kiroho na cha kimwili vile vile kupitia kilimo

NA SAMMY WAWERU HATA ingawa kijiji cha Kamale, Kitui Mashariki hakikosi kuhangaishwa na kiangazi, kina sifa za kipekee kufuatia jitihada...

Ugali wa Kenya ulivyovutia mgeni kuwekeza kwenye biashara ya viatu nchini

NA SAMMY WAWERU  VINCENT Ndayishemeze, ni kijana barobaro raia wa Burundi ambaye amekuwa nchini kwa muda wa mwaka mmoja.  Ni...

Kila mara nahisi mkojo hauishi kwenye mrija!

Mpendwa Daktari,Mimi hutingisha uume wangu baada ya kukojoa ilhali kila wakati mimi huhisi kana kwamba mkojo umesalia. Je tatizo laweza...

Mgawanyiko Mlimani: Hofu matukio ya 1992, 1997 yanajirudia

Na LUCAS BARASA HOFU ya migawanyiko iliyopelekea Mlima Kenya kubaki kwenye upinzani katika uchaguzi wa 1992 na 1997 na kudumaa...

Makanga mbioni kufuta nambari za simu kwenye magari kwa hofu ya kusemwa na abiria

NA LABAAN SHABAAN UKIABIRI matatu mojawapo ya Kampuni ya ByBuss Trans Sacco na ukose kufurahia huduma zao, utapanda mlima sana...