• Nairobi
  • Last Updated May 8th, 2024 5:50 AM

Nadia Mukami adai MCSK inamkausha pesa za mrabaha kwa muziki wake

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa mtindo wa Africapopster Nadia Mukami amejitokeza kulaumu Chama cha Hakimiliki za Muziki Nchini...

Unesco mbioni kutambua Mwazindika, ngoma ya jadi Taita Taveta

NA LUCY MKANYIKA JUHUDI zinaendelezwa ili ngoma ya kitamaduni ya jadi Taita Taveta inayojulikana kama Mwazindika itambuliwe na kulindwa...

Teknolojia mpya ya PEM yatoa vipimo vya uhakika zaidi kwa kansa

NA PAULINE ONGAJI WANASAYANSI wamegundua mbinu mpya ya kutambua kansa ya matiti huku ikipunguza uwezekano wa matokeo ya kupotosha. Kwa...

PK Salasya na DJ Pierra Makena wamezeana mate ‘kufanya biashara’

NA FRIDAH OKACHI MBUNGE wa Mumias Mashariki Peter Salasya na DJ Pierra Makena wanamezeana mate kiujanja, kila mmoja akitafuta fursa ya...

NDIVYO SIVYO: Neno ‘hakuna’ lisitumiwe badala ya kikanushi ‘si’

SEHEMU YA KWANZA Na ENOCK NYARIKI AGHALABU niliwasikia baadhi ya watu hasa wazee wakitumia neno ‘hapana’ kuwaasa wengine dhidi ya...

Charlene Ruto atangaza shindano la mshindi kuchomoka na Sh100,000

NA FRIDAH OKACHI BINTI wa Rais William Ruto, Charlene Ruto, amezindua shindano la ubunifu kwa kushirikisha vijana walio na ujuzi wa...

Kibera yafuta historia mbaya biogesi ya choo cha binadamu ikitumika kwa mapishi

NA LABAAN SHABAAN MTAA wa Kibera umekuwa ukitambulika kwa sifa mbaya ya ‘urushaji’ wa choo ovyoovyo, hali iliyofanya wengi kuuita...

Upekee wa kabati la Mswahili

NA KALUME KAZUNGU MSWAHILI asili yake ni Pwani. Huyu ni mja aliyefungamana na tamaduni za kipwani ambazo sanasana ni Uislamu na tamaduni...

Kuchapa baada ya kuachana na Mulamwah kulifanya niende VCT – Carrol Sonie

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI Caroline Muthoni Ngethe almaarufu Carrol Sonie amezungumzia jinsi alivyokabiliana na msongo wa mawazo...

Namna ya kujikinga dhidi ya miale hatari ya jua

NA LABAAN SHABAAN JUA kali limekuwa likishuhudiwa sehemu tofauti nchini kiasi cha kufanya watu kuogopa kutoka nje ila wanalazimika tu...

Masharti magumu ya wavuvi kushusha nyavu baharini

NA KALUME KAZUNGU UKIWA mvuvi halisi kwenye baadhi ya maeneo ya mwambao wa Pwani, hasa Lamu, itakujuzu kuzingatia kikamilifu baadhi ya...

Sababu za baadhi ya watu kuogopa giza

NA WANGU KANURI MTU mzima mmoja kati ya wanne bado hulala taa zikiwa wazi huku wengine wakikimbia kunapokuwa na giza, utafiti...