• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 1:46 PM

‘Tunataka stima madhubuti 2024’

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI, viongozi na wanaharakati wa kijamii kaunti ya Lamu wameililia serikali kupitia Kenya Power kuhakikisha...

Sabina Chege: Kwa Pasta Ng’ang’a ndipo

NA WANDERI KAMAU MBUNGE Maalum Sabina Chege amesema kuwa alipata baraka zake kutoka kwa Kanisa la Neno Evangelism Centre, lake Pasta...

Mungai Eve, Trevor wanusurika kwenye ajali

NA FRIDAH OKACHI MTENGENEZAJI maudhui mwenye ufanisi mkubwa YouTube, Mungai Eve na mpenziwe Director Trevor, walinusurika bila majeraha...

Usifakamie mlo tu kujaza tumbo – mtaalamu

NA LABAAN SHABAAN KAMA ilivyo desturi kila msimu wa sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya, watu hupumzika na kuchangamkia mapochopocho...

Mtaalamu wa IT auza biskuti akiendelea kusaka ajira

NA TOBBIE WEKESA MSIMU huu ambapo Wakenya wanajiunga na ulimwengu kusherehekea Krismasi na kuendelea na shamrashamra za kuukaribisha...

Mama aliyejeruhi wanawe aliambia kanisa ‘kuna shida’ 

NA MWANGI MUIRURI MWANAMKE mwenye umri wa miaka 39 aliyeponda watoto wake wawili kwa shoka na kuwaacha wakiwa hali mahututi, alikuwa...

Jinsi wazungu weusi wanavyotesa ‘ushago’

NA MWANGI MUIRURI BAADHI ya wenyeji waliozoea maisha ya mashambani wameshikilia kuwa ni mwiko kwao kuanika kijivazi cha ndani kwa kamba...

Samidoh: Nimeachwa, niko singo

NA SAMMY WAWERU MSANII tajika wa nyimbo Mugithi, Samuel Muchoki maarufu kama Samidoh huenda ametengana na mpenzi wake mwanasiasa Karen...

Ruto: Kenya ina wananchi wenye bidii

NA SAMMY WAWERU HUKU Kenya na ulimwengu kwa jumla ukiadhimisha Sikukuu ya Krismasi, Rais William Ruto amemiminia sifa Wakenya akiwataja...

Hali mseto wengi wakifakamia mlo, baadhi wakipiga mjengo

NA CHARLES WASONGA MSETO wa hali ulishuhudiwa Jumatatu, Desemba 25, 2023, asubuhi katikati mwa jiji la Nairobi na katika baadhi ya mitaa...

Rayvanny amwaga sababu za kujitoa WCB

NA RAJAB ZAWADI WIKI jana Rayvanny, Vanny Boy, alisherehekea mwaka mmoja tangu alipojiondoa kwenye lebo ya WCB Wasafi yake Diamond...

Manunuzi Krismasi: Wengi wakimbilia vibanda

NA CHARLES ONGADI KRISMASI mara nyingi katika eneo la Pwani hufika wakati wenyeji na wakazi na watalii wamejiandaa kisawasawa...