• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 6:50 AM

Yaya aliyetunza watoto vizuri nchini Lebanon apongezwa kwa kuizolea Kenya sifa nzuri

NA FRIDAH OKACHI YAYA Mkenya Rozah Rozalina Samson almaarufu 'Rosie', anayefanya kazi nchini Lebanon, amekuwa mtu maarufu mtandaoni...

COP28: Kenya kupokea kima cha Sh1.5 bilioni kuangazia uharibifu wa chakula

NA PAULINE ONGAJI KENYA itapokea zaidi ya Sh1.5 bilioni ili kuangazia suala la uharibifu wa chakula na mazao mengine baada ya...

Zuchu aweka ua kulinda ngome ya penzi lake

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Zuhura Othman Soud almaarufu 'Zuchu' ameibua tetesi za kuwepo kwa mvutano kati yake na wapenzi wa zamani...

Mazingira: Malalamishi ya mipira ya kondomu kusambaa

NA MWANGI MUIRURI  UTAWALA wa Gavana Irungu Kang'ata wa Murang'a umekosolewa kuhusu uwezo wake wa kutekeleza sheria za kimazingira. Huku...

Fisi wasifiwa kwa kutuliza walevi 

NA RICHARD MAOSI WARAIBU wa pombe katika barabara ya Naivasha - Maai Mahiu wanalazimika kurejea makwao mapema kufuatia kero ya fisi...

Wahuni wanaohangaisha walevi kwa pingu 

NA SAMMY WAWERU  WALEVI wanaotoka kwenye baa na klabu majira ya usiku mitaa kadha Nairobi, wamegeuka kuwa kitoweo cha wahuni...

Wanawake wahalifu walivyomgeuza kiwete

NA MWANGI MUIRURI MNAMO Aprili 12, 2023 Bw George Muigai, 31, alikumbana na genge la wanawake wanne waliokuwa wamejihami kwa mapanga na...

Vidosho Akorino walionengulia walevi viuno wawaka moto

NA MWANGI MUIRURI WAREMBO watatu wa dini ya Akorino walionaswa wakinengua viuno katika baa moja mjini Ruiru sasa wanawataka wadaku wa...

Polo na kahaba wakwamiliana lojing’i Othaya

NA MWANGI MUIRURI KIZAAZAA kilizuka katika danguro moja la mahaba Mjini Othaya, baada ya mwanamume na mwanamke kukwamiliana baada ya...

Maina Njenga ni mradi wa Gachagua kuzima umaarufu wa Kenyatta?

NA MWANGI MUIRURI HUENDA ikawa harakati za aliyekuwa kinara wa kundi haramu la Mungiki katika Mlima Kenya ambapo anatesa, akisema...

Carrol Sonie, Mulamwah waambiwa watoto si wa kuingizwa kwa mzozo wao

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI Caroline Muthoni almaarufu Carrol Sonie amechukua hatua ambayo baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii...

Sababu ya waumini wa Akorino kuomba ‘mvua ya moto’ itembelee kilabu kimoja Ruiru

NA MWANGI MUIRURI Muungano wa wauminu wa dini ya Akorino nchini umetishia kulaani moto kilabu kimoja mjini Ruiru. Hii ni kufuatia...