• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 12:18 PM

Neno ‘kitawaramba’ lake Paul Mackenzie sasa lapata umaarufu kote duniani

NA WANDERI KAMAU WAKATI mhubiri mbishi Paul Mackenzie alipotoa kauli “kitawaramba” Mei mwaka huu, 2023, akiwaonya polisi kwa...

IG Koome asimulia alivyoshauriwa kutafuta kidosho alipopandishwa madaraka

NA MWANGI MUIRURI  INSPEKTA Jenerali wa polisi (IG), Japhet Koome Alhamisi, Desemba 14, 2023 alifichua jinsi watu mashuhuri serikalini...

Tanzia mwanamuziki wa Injili akianguka na kufariki akitumbuiza

NA WINNIE ONYANDO MWANAMUZIKI wa nyimbo za Injili kutoka Brazil, Pedro Henrique, Desemba 13, 2023 alianguka na kufariki wakati...

Ruto aonywa kuhusu mpango wa kuwaondolea wageni viza

NA WANDERI KAMAU SERIKALI imetahadharishwa dhidi ya kutekeleza mpango wake wa kuondoa hitaji la viza dhidi ya raia wote wa kigeni...

Marufuku ya ulevi na mahaba vichakani Kiambu

NA MWANGI MUIRURI  SERIKALI kuu katika Kaunti ya Kiambu imepiga marufuku utumizi wa mashamba kama mabaa na lojing'i msimu huu wa...

Pasta Ng’ang’a: Ni upumbavu kutembea na simu ya Sh20,000

NA FRIDAH OKACHI MHUBIRI wa kanisa la Neno Evangelism, Pasta James Maina Ng’ang’a amewataka wafuasi wake kususia kununua simu za...

Hisia mseto Rais Ruto akikaushia washirika tuzo za haiba, walimu nao wakikemea ‘D material’ kutuzwa

NA WANDERI KAMAU JE, kuna mvutano baridi baina ya Rais William Ruto na baadhi ya mawaziri wake? Hilo ndilo swali lililoibuka baada...

Vibanda vinavyofuga wahuni na wahalifu Ruiru 

NA SAMMY WAWERU RUIRU ni mojawapo ya mtaa unaounda Kaunti pana ya Kiambu.  Eneobunge lake likiwa chini ya mbunge Simon King’ara, kwa...

Nakubali tatizo ni mimi, Akothee asema akirejelea mahusiano yake yasiyodumu

NA SINDA MATIKO AKOTHEE anadai kuwa kujipenda kwake kupita maelezo ndio kumemkosti ndoa zake. Baada ya ndoa yake ya pili kudumu kwa miezi...

Mtaalamu: Ugumu wa maisha unavyoathiri ukuaji wa watoto Nairobi

NA SAMMY WAWERU HALI ngumu ya maisha imetajwa kama mojawapo ya sababu zinazochangia watoto kukua polepole katika Kaunti ya...

Mcheshi anayewapa tumbojoto wanasiasa Mlima Kenya kwa umaarufu wake

NA WANDERI KAMAU KATIKA jamii, ni kawaida kwamba wanasiasa ndio huibukia kuwa watu maarufu zaidi. Hivyo, kila mmoja hutaka kuhusishwa...

Matamshi ya Gavana Kahiga kuhusu nguvu za umeme huenda yakamtia motoni?

NA SAMMY WAWERU GAVANA wa Nyeri, Mwalimu Mutahi Kahiga anaonekana kujipata kwenye kikaangio moto kufuatia pendekezo lake kwa Rais William...