• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 9:40 PM

HUKU USWAHILINI: Huku jina unalompa mtoto wako ndilo humkaa kabisa

NA SIZARINA HAMISI WATOTO wetu huku Uswahilini huwa wanapitia masaibu mengi mno. Na hata ukiona mtoto kalelewa hadi kuwa mtu mzima...

MALEZI KIDIJITALI: Mafunzo ya malezi dijitali kwa wazazi yaja

JUHUDI za kuhakikisha kwamba wazazi nchini wamekumbatia malezi dijitali zimepigwa jeki baada ya wadau kuungana na kuzindua mpango wa...

PENZI LA KIJANJA: Eti anataka umzalie kabla akuoe? Toroka!

NA BENSON MATHEKA VALENTINO imepita na baadhi ya waliotarajia raha walipata mishtuko. Kwa Grace, mshtuko aliopata ulikuwa kinyume na...

UJAUZITO NA UZAZI: Tatizo la ‘colic’ kwa mtoto mchanga

NA PAULINE ONGAJI TATIZO la mtoto mchanga kuumwa na tumbo siku chache baada ya kuzaliwa au kwa Kiingereza, colic, hukumba baadhi ya watoto...

LISHE: Fahamu faida za kula nyanya mbichi zilizoiva vizuri

NA MARGARET MAINA [email protected] NYANYA ni chanzo kikuu cha lycopene, ambayo imehusishwa na faida nyingi za kiafya, pamoja...

MAPISHI KIKWETU: Kimanda cha viazi mbatata

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 10 Muda w amapishi: Dakika 15 Walaji: 2 Vinavyohitajika ...

MAPISHI KIKWETU: Nyama ya kuku choma iliyoandaliwa kwa pamoja na kitunguu saumu na siagi

NA MARGARET MAINA [email protected] KUKU choma inapochomwa pamoja na siagi, kitunguu saumu, halwaridi, na limau huwa na ladha ya...

LISHE: Umuhimu wa tunda la kantalupu

NA MARGARET MAINA [email protected] Kantalupu ni aina ya tikiti ambalo ni tamu sana, ingawa lina sura isiyo ya kawaida. Limejaa...

Faida zipatikanazo kwa kula tunda la pogoa

NA MARGARET MAINA [email protected] KUVIMBIWA ni hali ambayo huvuruga mchakato wa usagaji chakula.  Katika nyakati kama hizo,...

Je, unapaswa kuosha uso wako kwa maji baridi?

NA MARGARET MAINA [email protected] KUOSHA uso kwa maji baridi huathiri ngozi kwa njia nyingi nzuri. Kuzuia chunusi, kwa mfano,...

Chai ya muasumini na manufaa yake kwa binadamu

NA MARGARET MAINA [email protected] MUASUMINI hutumiwa kwenye ngozi ili kupunguza kiasi cha maziwa ya mama, kwa magonjwa ya...

MAPISHI KIKWETU: Wali mwekundu kwa samaki

NA PAULINE ONGAJI Viungo Mchele vikombe – 2 Samaki mkubwa vipande vinne Mafuta ya kukaanga lita – ¼ Vitunguu vikombe...