• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 12:59 PM

Mke wa mwanasoka Ezekiel Otuoma adhihirisha mapenzi ya dhati kwa kumtunza kipindi chote akiugua

NA FRIDAH OKACHI MKE wa mwanasoka Ezekiel Otuoma, Racheal Otuoma ameapa kamwe hatamuacha bali ataendelea kumfaa kipindi chote kigumu...

Sarah Kabu atumia Sh500,000 kuipa ngozi ulaini wa kipekee

NA FRIDAH OKACHI MENEJA Mkurugenzi wa kampuni ya kutoa huduma za usafiri wa kitalii, Bonfire Adventures, Sarah Kabu ameupa uso wake mng'ao...

Vidonge vya kuongeza nguvu za kiume ni njia ya kujipeleka mapema kaburini

NA BENSON MATHEKA VISA vya wanaume kufariki kwa kumeza vidonge vya kuongeza nguvu zao kiume ili kutamba chumbani vimeongezeka. Azma...

Hii hapa siri ya kujipatia ngozi ya kupendeza

NA PAULINE ONGAJI TATIZO la ngozi kuzeeka upesi hukumba baadhi ya watu ambapo husababisha wasiwasi hasa miongoni mwa akina dada. Shida...

Afichua siri kubwa ya wanawake wanaojiuza kimwili, akisema wengi wao huhatarisha afya zao kusudi wapate pesa

NA FRIDAH OKACHI KUSAKA pesa kupitia kujiuza kimwili kumesababisha wanawake wanaochukua hatua hiyo ambayo haijakubalika kimaadili,...

AMINI USIAMINI: Kuna ndege mchinjaji

NA MWORIA MUCHINA NDEGE anayeitwa red-backed shrike pia anafahamika kama ‘butcher bird’ ama ndege mchinjaji. Hii ni kwa sababu, ndege...

Kasisi wa Afrika Kusini anayeacha mabinti wa Kenya na kiu ya mahaba

NA MERCY KOSKEI KASISI mmoja kutoka Afrika Kusini amezua msisimko nchini, kutokana na video zake kwenye mtandao wa TikTok zinazomuonyesha...

AMINI USIAMINI: Jinsi bodaboda wa kiume wanavyobakwa na wateja wao wa kike jijini

NA FRIDAH OKACHI KATIKA harakati za kujitafutia riziki, wahudumu wa bodaboda nchini hukutana na wateja wa kila aina. Mhudumu mmoja wa...

PENZI LA KIJANJA: Jamaa huoa kwa wakati wake, huwa hapendi presha

NA BENSON MATHEKA KIPUSA, iwapo umeangukia barobaro ambaye ni chaguo lako la mume, usimharakishe akuoe. Kwanza unafaa kufahamu siri...

Mwanamuziki Kambua Mathu asimulia pandashuka za maisha akifichua kuhusu idadi kamili ya watoto aliozaa

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa Injili Kambua Mathu amezungumzia pandashuka zake maishani, akifichua akijifungua watoto wanne na wala si...

Aliyepandikizwa nywele husubiri kati ya mwaka mmoja na mwaka mmoja na nusu kujionea matokeo

NA FRIDAH OKACHI MFANYABIASHARA Jamal Marlow almaarufu Jamal Rohosafi kwa mara ya kwanza amezungumza baada ya kufanyiwa upasuaji wa...

MAPISHI: Mbinu za kupunguza harufu ya mayai inayokera

Na PAULINE ONGAJI Protini kama mayai ni muhimu kwa afya kwa sababu humeng’enywa kwa urahisi mwilini. Mayai yana viwango vya juu vya...